Kama huna hela usiombe namba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna ki mwanafunzi kilinipa namba juzi tu kinaomba nikitaftie field. Nikakiambia sina connection sasa kimegeuka kinaniomba hela ya uber kila siku eti kinafuatilia field. Saiz tayar nimekua spokei
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujakutana na wajanja wee 500k kitu gan bhana wee, utashangaa unaombwa 3000k unabaki kuhaha lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Labda km una deal na watoto wa primary.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee hizi chai ni za wapi? Hao wadada unaokuwa nao ni wa umri gani? Mbona kwangu hai ingii akilini kabisa.
 
Ukweli mtupu huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee hizi chai ni za wapi? Hao wadada unaokuwa nao ni wa umri gani? Mbona kwangu hai ingii akilini kabisa.
Kuna wanawake vilaza tena wenye madegereeee,bora utoe papuchi bure kuliko kuitoa kwa matumaini hewa km hayo
 
Maskini mwenzenu nipo hapa,hata sipingi baba

nikifkiria tu kutoa mtongozo nawaza madeni ninayodaiwa kwanza

najikuta napiga kifua mara 3 najiambia Kontrola tulizana baba,benki huu mwezi wa mwisho rejesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wanawake vilaza tena wenye madegereeee,bora utoe papuchi bure kuliko kuitoa kwa matumaini hewa km hayo
Yaan najaribu ku imagine bado akili inagoma, yaan mwanamke akose akili ya kuomba lak 5 au Mil 1 kweli? Labda wa primary maan hata wa secondary akili hiyo anayo.
Mwanamke wa hivyo hana tofauti na mbuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan najaribu ku imagine bado akili inagoma, yaan mwanamke akose akili ya kuomba lak 5 au Mil 1 kweli? Labda wa primary maan hata wa secondary akili hiyo anayo.
Mwanamke wa hivyo hana tofauti na mbuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu hajala aje kuomba laki 5, ambayo Hana uhakika km atapewa papo hapo!! Anaomba ndogo isiyo leta mashaka kwa anaeombwa, yani Ni pesa rahisi kutoa

Ukiona mwanamke ana akili ya kuomba pesa ndefu Basi ujue Kodi anayo msosi uhakika nk
 
Dunia ya Sasa Ni pesa tu yaan Hilo halina mpinzan ,nimetemana sana na madem kibao kisa vibome vya hapa na pale ,Kuna mmoja saiz ananinunia kabisa [emoji23][emoji23] ,ajabu Sasa nikawaza kuwa embu ngoja nitafute bint ambae kwao hawana njaa kabisa ,kweli nikampata manz fulan kwao sio haba wana pesa za maana njaa kwao mwiko ,manz yupo ki college fulan maana alifel form four so dingi ake akampeleka kicollege fulan asomee mambo ya computer ili baadae amtumie kwenye kampuni yake .
Bwana we mtoto nikampanga akajaa fresh bas nikajiwazia kuwa vibom kwa heri hapa,siku moja akanichek kuwa anakuja kwangu akitokea chuo ,ilikuwa weekend mtoto akaja had mageton kwa naul yake ,mzee nikajipigia siku nzima ,jion alirud chuon ,mida ya saa mbil akanipigia anataka nimsaidie pesa fulan ,daah nilichoka sana [emoji23][emoji23] nikamwambia asikilizie had kesho ,kesho ikafika nikamkaushia jumla ,zikapita siku mbil akanichek na kulaum balaa akaongea wee sikumjib kitu ,had ninavyoongea tumekaushiana siku ya nne hii ,yupo kimya nipo kimya.

Nilichojifunza mpaka Sasa mapenz Ni pesa na pesa Ni mapenz ,vijana tukiendekeza sana hawa wadudu hakika uzee wetu utakuwa na mwisho mbaya sana ,now days kila mwanamke anaijua pesa sio maskin sio hawa wakishua wote pesa iko mbele sana .
Onyo :ukimwona mwanake barabaran kama unaona kabisa huwez kutoa pesa kausha mwache apite kula kwa macho tu ,ila Kama una pesa ya ziada hangaika na no za hawa viumbe.
 
Kuhonga nako ni kipaji. Kuna watu wanakipaji cha kuhonga. Mi kipaji changu ni kupiga machine. Mungu hawezi kukupa vyote
 
Wewe ndo umemwambia ukweli Sasa, sio rahisi kumpata tajiri muhongaji wengi mabahili wa kutupa wana mitihani hao ukiivuka Basi unajilia kiulainiii, ila kuivuka ndo inataka uvumilivu wa hali ya juu sana
Napenda ulivyo mkweli
 
Ukweli ndy huo yaani siku hizi ukipewa k ya bure bure inabidi ujistukie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…