Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Mimi nina kisukari siwezi kuonewa huruma?
Unashindwa kuwakopa??? ila ujiandae kwa makofi!!Yamenikuta mimi haya mademu wa kali wote nimetonhoza mwezi huu na wanakubali hilo halina shida tatizo pesaaaa wanaanza na true love hawaombi vocha wanapiga wenyewe usiku mnaongea ila ukiomba tuu game hapo ndo balaaa....
Nina mengi nimejifunza tutafte pesa wanawake wazuri wote wapo single na hawakatai aiseee.
SipingiMm niliacha kutongoza na badala yake naenda kununua papuchi yaan nachagua ninazotaka unajua kwann?...kuna manzi wengi tu huwa nawatongoza na nahonga vya kutosha. guess what mwisho wa siku nakuja kugonga na kondom,kavu nakuwa naona ni kujitosa sana.yaan nihangaike na demu miezi miwili nichunwe vya kutosha ukipiga mahesabu mpaka unakuja kupewa papuchi ushahonga zaidi ya 300k(hii ni kwa pisi kali yenye tako lakn),sasa si bora nikanunue kwa 10k tena napewa siku hyo hyo, no wastage of time,pia nakuwa na uhuru na cm yangi nikirud kwa wife kuliko kwa michepuko mda wote kazi ni kuwablock na ku-unblock kila urudipo nyumbani.Ni MATESO,
KUNUNUA PAPUCHI NDO MPANGO MZIMA!
Kiuno kwa kiuno aseeeDon't do favors for a woman today and expect to get sexual favors tomorrow. You will fail miserably because they are not wired like that. If you must do such nasty trades, use a cash on delivery model (unalipa mzigo ukiwa njiani).
Actually . Ukishapewa namba tegemea siku chache mbele utaombwa pesa au wengine hawana mishipa ya aibu wanaomba hapo hapoAisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa kweli.
Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajidai katulia na mmoja huyo Masikini mwenzetu yaani.
shetani kanipitia sijui nilitoaje pesa,..Michezo ya ela kwa sasa hapana labda mwakani. !!!!!
😂😂😂 kuwa serous mkuu..5k????huyo ni mtoto wa form 2A au??shetani kanipitia sijui nilitoaje pesa,..
jana niko mtaani mida ya mchana nimetulia napiga energy drink taratibu huku navuta muda uendee,mara nikaona mtoto mkali kakatiza mbele yangu,sikulaza damu nikasema naye hakuwa mgumu kutoa namba
basi,jion nikamchombeza kidogo akaniomba 5000,stor zikaendelea nikaona isiwe shida nikamtumia wala sikujali kama hela zinatafutwa kesho nayo siku.
naamka asubuhi umeme umeisha naitajika kutoa 5000 ya bill (umeme) na wapangaji wenzangu nikapromise, niingie mtaani nikapambane nitatoa mchana.
hapa nilipo ngoma ni bila bila mpaka muda huu sijapata mkwanja na simu kama zote nimepigiwa,hapa najipanga niende ghetto kagiza giza hivi maana nikienda mapema msala...
hapana mkuu,alidai ya vocha[emoji23][emoji23][emoji23] kuwa serous mkuu..5k????huyo ni mtoto wa form 2A au??
Hahhaahha...Ungejua wenye hela ndio wagumu kuhonga kuliko sisi masikini.. sisi masikini ndio tunawabeba wanawake sana kwa vi hela vyetu viduchu
Wanawake wanalijua hilo.. kumpata tajiri muhongaji sio kazi ndogo..
Matajiri ama wenye hela waliotafuta wenyewe ni wabahili sana. Maana wanaheshimu hela...
niliwahi fanya hii, nipo club moja ya runners, wanakulana hatari. Sasa mm kama member mpya walipotumiwa picha walianza kuja inbobo. Kazi rahisi tu mtu akisema tuonane namwambia niwekee mafuta ya laki moja nakuja, mbona walikimbia wote. Baadae nkaona sitongozwi tena , kuna mmoja ndo akaniambia dada mi unanivutia ila sifa iliyojaa humu club we unapenda sana hela yan wanakuogopa wote. Nkasema saaafi 🤣 🤣 🤣 🤣Wanawake sometimes wanaomba hela kama chujio!...kupunguza watongozaji!
Pesa ni kama boya LA kuogelea!
Kama huna pesa unatakiwa uoneshe ubaharia wa kuogelea bila maboya!
Piga mbizi hadi demu aamini hutamzamisha mkiingia bahari ya malavdav!
Ukishazama nae majini hana ujanja unajipigia tu kama pombe ya ngomani
Uli join kwenye social media gani yenye club runners,niliwahi fanya hii, nipo club moja ya runners, wanakulana hatari. Sasa mm kama member mpya walipotumiwa picha walianza kuja inbobo. Kazi rahisi tu mtu akisema tuonane namwambia niwekee mafuta ya laki moja nakuja, mbona walikimbia wote. Baadae nkaona sitongozwi tena , kuna mmoja ndo akaniambia dada mi unanivutia ila sifa iliyojaa humu club we unapenda sana hela yan wanakuogopa wote. Nkasema saaafi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Goba runnersUli join kwenye social media gani yenye club runners,