Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwal wae msiooa bado ujumbe wa leo ni huu.
Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo.
Mimi nimekuwa kada wa ccm kuanzia mwaka 2007 hadi 2015 nimeenda hadi Dodoma nimeona na kuyasikia mengi.
Ukiona mwanamke amepata cheo fulani cha kisiasa basi hupaswi kujiuliza maswali mengi sana unachopaswa kujiuliza kama mwanaume hiyo nafasi anaipata kwa jasho na damu rushwa nk vipi kwa mwanamke?
Swali hilo linatosha kabisa kukupa jibu sahihi.Kama tu mwanamke anapata changamoto kwenye kazi yake aliyoisomea na serikali /kampuni binafisi ikamuajiri lakini bado anapitia magumu vipi huko siasani?
Yote tisa heri! Kumi ni pale vibopa watakapo mtaka mkeo hata gerezani utaenda ili mradi tu mke wako awe huru asuguliwe ukucha weeeee huku wewe ukiwa gerezani yaani tegemea kupita kwenye tanuru nadhani hakuna asiye jua.
Wala hayahitajiki maneno mengi sana ila kaa ukijua UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI A ccording pastor Kenan mwasamola.
Papii kocha "Fanta wangu"
View: https://youtu.be/SAsp05ZaRV0?si=NzFdJo2g8vPHH1bi