Kama huna kifua basi (Kijana) usioe mwanamke mwanasiasa

Mwanamke ni mwanamke tu, hata awe mama wa nyumbani, ukijafanya unaujua sana USHARUKHAN anakukalia kichwani...
Kama umewahi kujiingiza kwenye siasa wala hutajaribu hata kulinganisha mwanamke mwanasiasa na wa nyumbani ni mbingu na ardhi kwenye kitengo hicho.

Hivi neno muheshimiwa diwani,mbunge nk unadhani ni la kitoto eee
 
Kuna Fame mmoja miaka 2015 hivi.
Tulikutana sehem ya kula.
Niko na wana. Ila ile manzi ikawa inanikata jicho hilo na ana macho mazur balaa.
Nikawatonya wana hii manzi siielewi dzain kama imekolea...

Tumemaliza kula tunapiga moja mbili . Tukajikuta tuko meza moja na wao.
Yeye alikuwa na dada ake.
Ndio first time mjini. Ana wiki moja na anakaa kwa huyo shost yake.

Kiufup aliniwinda. Alinipoint na Alitengeneza mazingira nimtongoze.
Baadae miaka imeenda ndio Nilikuja kujua anafanya hivyo kwa wanaume kadha wa kadha.

Tufupishe story.
Nilikuwa nae kwa muda. Ila baadae tukawa marafik maana alitembea na washkaj zangu. Boss wangu na pia kila aliyetaman kuwa nae aliweza maana ana confidence . Ni mzuri . Ana jicho karee . Mweupe . Guu la bia na tako.
Kiufup ni pisi ya kwenda.

Sasa kuanzia 2020 namuona yuko kwenye masiasa 😂😂😂😂😂. CCM huko.

Na ana uchu sana na madaraka.
Na Confidence anayo ila akili sifuri.

Kwahiyo nina amini amekitembeza sana 😂😂😂😂😂 maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.

Basi Utatumika sana aiseee.
Shost najua kakitembeza sana maana ana matamaa ya kiwaki.
😂😂😂😂😂

Maneno mengi...... ulifanikiwa kula walau ? Hicho kipengele umekiruka... kama hujala Pole sana ...
 
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu, mbona kama unataka tuseme vitu na wala hatutaki kusema.🤣
🤣🤣🤣 Unataka kusema nini kuhusu mama Abdul Sykes aka duly Sykes!?
 
Kuna Fame mmoja miaka 2015 hivi.
Tulikutana sehem ya kula.
Niko na wana. Ila ile manzi ikawa inanikata jicho hilo na ana macho mazur balaa.
Nikawatonya wana hii manzi siielewi dzain kama imekolea...

Tumemaliza kula tunapiga moja mbili . Tukajikuta tuko meza moja na wao.
Yeye alikuwa na dada ake.
Ndio first time mjini. Ana wiki moja na anakaa kwa huyo shost yake.

Kiufup aliniwinda. Alinipoint na Alitengeneza mazingira nimtongoze.
Baadae miaka imeenda ndio Nilikuja kujua anafanya hivyo kwa wanaume kadha wa kadha.

Tufupishe story.
Nilikuwa nae kwa muda. Ila baadae tukawa marafik maana alitembea na washkaj zangu. Boss wangu na pia kila aliyetaman kuwa nae aliweza maana ana confidence . Ni mzuri . Ana jicho karee . Mweupe . Guu la bia na tako.
Kiufup ni pisi ya kwenda.

Sasa kuanzia 2020 namuona yuko kwenye masiasa 😂😂😂😂😂. CCM huko.

Na ana uchu sana na madaraka.
Na Confidence anayo ila akili sifuri.

Kwahiyo nina amini amekitembeza sana 😂😂😂😂😂 maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.

Basi Utatumika sana aiseee.
Shost najua kakitembeza sana maana ana matamaa ya kiwaki.
😂😂😂😂😂
Nipasie no zake tafadhali 😎
 
Back
Top Bottom