Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Huo ndio uhalisia wakeKuna Fame mmoja miaka 2015 hivi.
Tulikutana sehem ya kula.
Niko na wana. Ila ile manzi ikawa inanikata jicho hilo na ana macho mazur balaa.
Nikawatonya wana hii manzi siielewi dzain kama imekolea...
Tumemaliza kula tunapiga moja mbili . Tukajikuta tuko meza moja na wao.
Yeye alikuwa na dada ake.
Ndio first time mjini. Ana wiki moja na anakaa kwa huyo shost yake.
Kiufup aliniwinda. Alinipoint na Alitengeneza mazingira nimtongoze.
Baadae miaka imeenda ndio Nilikuja kujua anafanya hivyo kwa wanaume kadha wa kadha.
Tufupishe story.
Nilikuwa nae kwa muda. Ila baadae tukawa marafik maana alitembea na washkaj zangu. Boss wangu na pia kila aliyetaman kuwa nae aliweza maana ana confidence . Ni mzuri . Ana jicho karee . Mweupe . Guu la bia na tako.
Kiufup ni pisi ya kwenda.
Sasa kuanzia 2020 namuona yuko kwenye masiasa πππππ. CCM huko.
Na ana uchu sana na madaraka.
Na Confidence anayo ila akili sifuri.
Kwahiyo nina amini amekitembeza sana πππππ maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.
Basi Utatumika sana aiseee.
Shost najua kakitembeza sana maana ana matamaa ya kiwaki.
πππππ
Ina maana mpaka "Mama" wahuni wamempitia?Kwal wae msio oa bado ujumbe wa leo ni huu.
Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo.
Mimi nimekuwa kada wa ccm kuanzia mwaka 2007 hadi 2015 nimeenda hadi Dodoma nimeona na kuyasikia mengi.
Ukiona mwanamke amepata cheo fulani cha kisiasa basi hupaswi kujiuliza maswali mengi sana unachopaswa kujiuliza kama mwanaume hiyo nafasi anaipata kwa jasho na damu rushwa nk vipi kwa mwanamke?
Swali hilo linatosha kabisa kukupa jibu sahihi.Kama tu mwanamke anapata changamoto kwenye kazi yake aliyoisomea na serikali /kampuni binafisi ikamuajiri lakini bado anapitia magumu vipi huko siasani?
Yote tisa heri! Kumi ni pale vibopa watakapo mtaka mkeo hata gerezani utaenda ili mradi tu mke wako awe huru asuguliwe ukucha weeeee huku wewe ukiwa gerezani yaani tegemea kupita kwenye tanuru nadhani hakuna asiye jua.
Wala hayahitajiki maneno mengi sana ila kaa ukijua UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI A ccording pastor Kenan mwasamola.
Papii kocha "Fanta wangu"
View: https://youtu.be/SAsp05ZaRV0?si=NzFdJo2g8vPHH1bi
Mama yupi mkuu?Ina maana mpaka "Mama" wahuni wamempitia?
Hii sasa ndio hoja ya msingi. Ukiwa kilaza lazima utumike.maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.
Basi Utatumika sana aiseee.
Mama yupi mkuu?
Hebu nipe namba yake kwanza ili nikienda Dodoma nimtafute kwa ajili ya kubadilishana mawazo, na pia kumpa mbinu za kufanikiwa ndani ya chama na serikali.Kuna Fame mmoja miaka 2015 hivi.
Tulikutana sehem ya kula.
Niko na wana. Ila ile manzi ikawa inanikata jicho hilo na ana macho mazur balaa.
Nikawatonya wana hii manzi siielewi dzain kama imekolea...
Tumemaliza kula tunapiga moja mbili . Tukajikuta tuko meza moja na wao.
Yeye alikuwa na dada ake.
Ndio first time mjini. Ana wiki moja na anakaa kwa huyo shost yake.
Kiufup aliniwinda. Alinipoint na Alitengeneza mazingira nimtongoze.
Baadae miaka imeenda ndio Nilikuja kujua anafanya hivyo kwa wanaume kadha wa kadha.
Tufupishe story.
Nilikuwa nae kwa muda. Ila baadae tukawa marafik maana alitembea na washkaj zangu. Boss wangu na pia kila aliyetaman kuwa nae aliweza maana ana confidence . Ni mzuri . Ana jicho karee . Mweupe . Guu la bia na tako.
Kiufup ni pisi ya kwenda.
Sasa kuanzia 2020 namuona yuko kwenye masiasa πππππ. CCM huko.
Na ana uchu sana na madaraka.
Na Confidence anayo ila akili sifuri.
Kwahiyo nina amini amekitembeza sana πππππ maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.
Basi Utatumika sana aiseee.
Shost najua kakitembeza sana maana ana matamaa ya kiwaki.
πππππ
Analewa wanasema eti... Guess what!?"Mama" si Mama.
Huyo huyo, kwani kuna yupi mwingine?
Noma sana Aisee π€£Kuna Fame mmoja miaka 2015 hivi.
Tulikutana sehem ya kula.
Niko na wana. Ila ile manzi ikawa inanikata jicho hilo na ana macho mazur balaa.
Nikawatonya wana hii manzi siielewi dzain kama imekolea...
Tumemaliza kula tunapiga moja mbili . Tukajikuta tuko meza moja na wao.
Yeye alikuwa na dada ake.
Ndio first time mjini. Ana wiki moja na anakaa kwa huyo shost yake.
Kiufup aliniwinda. Alinipoint na Alitengeneza mazingira nimtongoze.
Baadae miaka imeenda ndio Nilikuja kujua anafanya hivyo kwa wanaume kadha wa kadha.
Tufupishe story.
Nilikuwa nae kwa muda. Ila baadae tukawa marafik maana alitembea na washkaj zangu. Boss wangu na pia kila aliyetaman kuwa nae aliweza maana ana confidence . Ni mzuri . Ana jicho karee . Mweupe . Guu la bia na tako.
Kiufup ni pisi ya kwenda.
Sasa kuanzia 2020 namuona yuko kwenye masiasa πππππ. CCM huko.
Na ana uchu sana na madaraka.
Na Confidence anayo ila akili sifuri.
Kwahiyo nina amini amekitembeza sana πππππ maana ukiwa Mwanamke mwanasiasa . Alaf huna elimu na hauna akili ya kujenga hoja au haujatokea familia inayokubeba kisiasa.
Basi Utatumika sana aiseee.
Shost najua kakitembeza sana maana ana matamaa ya kiwaki.
πππππ
Mama na aliyemreplace mwenza naye?Analewa wanasema eti... Guess what!?
ππππ€£ dahIna maana mpaka "Mama" wahuni wamempitia?
Wahuni hawana adabu.ππππ€£ dah
Uzi chonganishi huu, kumaanisha niniπKwal wae msio oa bado ujumbe wa leo ni huu.
Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo.
Mimi nimekuwa kada wa ccm kuanzia mwaka 2007 hadi 2015 nimeenda hadi Dodoma nimeona na kuyasikia mengi.
Ukiona mwanamke amepata cheo fulani cha kisiasa basi hupaswi kujiuliza maswali mengi sana unachopaswa kujiuliza kama mwanaume hiyo nafasi anaipata kwa jasho na damu rushwa nk vipi kwa mwanamke?
Swali hilo linatosha kabisa kukupa jibu sahihi.Kama tu mwanamke anapata changamoto kwenye kazi yake aliyoisomea na serikali /kampuni binafisi ikamuajiri lakini bado anapitia magumu vipi huko siasani?
Yote tisa heri! Kumi ni pale vibopa watakapo mtaka mkeo hata gerezani utaenda ili mradi tu mke wako awe huru asuguliwe ukucha weeeee huku wewe ukiwa gerezani yaani tegemea kupita kwenye tanuru nadhani hakuna asiye jua.
Wala hayahitajiki maneno mengi sana ila kaa ukijua UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI A ccording pastor Kenan mwasamola.
Papii kocha "Fanta wangu"
View: https://youtu.be/SAsp05ZaRV0?si=NzFdJo2g8vPHH1bi
Mkuu hivi unajua hakuna mwanamke mwenye akili mbele ya mwanaume mwenye swaga. Huyo baba levo anaweza kumuingiza kingi mwanamke yeyote mwenye uchu na madaraka kataa ukubaliHii sasa ndio hoja ya msingi. Ukiwa kilaza lazima utumike.
Ukiwa kichwa hata kukusogelea tu wanaogopa. Au unataka kuniambia mtu kama Anna Malecela, Bi Asha rose,utawaingia vipi?
Ila ukiwa kama bi ( ) lazima ukubali kutumika