Kama huna kifua basi (Kijana) usioe mwanamke mwanasiasa

Mwanamke ni mwanamke tu, hata awe mama wa nyumbani, ukijafanya unaujua sana USHARUKHAN anakukalia kichwani...
Kama umewahi kujiingiza kwenye siasa wala hutajaribu hata kulinganisha mwanamke mwanasiasa na wa nyumbani ni mbingu na ardhi kwenye kitengo hicho.

Hivi neno muheshimiwa diwani,mbunge nk unadhani ni la kitoto eee
 

Maneno mengi...... ulifanikiwa kula walau ? Hicho kipengele umekiruka... kama hujala Pole sana ...
 
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu, mbona kama unataka tuseme vitu na wala hatutaki kusema.🀣
🀣🀣🀣 Unataka kusema nini kuhusu mama Abdul Sykes aka duly Sykes!?
 
Nipasie no zake tafadhali 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…