Kama huna kifua basi (Kijana) usioe mwanamke mwanasiasa

Si mmoja, ukimuita mmoja unamshusha hadhi.

Kiongozi wao mstaafu manyota anayechezesha chess mpanga kete na aliyekaa kiti cha juu kabisa.

Yule aliyeenda kimataifa aliyerudishwa chama sasa naye ashaliwa siku nyingi sana.
🀣🀣🀣 Mitank tena kwa manyota🫑
 
Hili sio kwamba kama hauna kifua.. Mwanamke Mwanasiasa HAOLEWI, atajioa mwenyewe,
 
Hiyo sio siasani tu mkuu hata ukioa mwanamke mtumishi/mfanyakazi uwe na kifua. Yanayofanyika maofisini/makazini kwa wake za watu yanatia hasira sana.
Nakubali mkuu. Huku makazini wake za watu ni warahisi kuliko hata walio single na huu ndo ukweli.

Lakini akiwa mwanasiasa sasa kamwe huwezi mlinganisha na hao wa makazini.

Huko kwenye siasa kuna mafia sana mkuu jaribu kufanya research
 
Maneno mengi...... ulifanikiwa kula walau ? Hicho kipengele umekiruka... kama hujala Pole sana ...

Sikuishia Kumla tu.
Nilimpangia had chumba . Mwananyamala mbele kidogo ya mama Zakaria. Kwenye tuta pale. Sijui wanapaitaje nishasahau.
Kodi 60k. Nililipa miez 6 na akaanza kulala chin. Baadae akajikwamua mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Maana nikaanza kuona ana Kitanda. Mara Tv .akadai ametumiwa hela na mshua wake.

Alaf Imagine mwanamke analala tu mchana. Mm nikaona yuko Loyal.
Asubuh napita then naenda Job.
Aisee Kumbe usiku anakesha Masai Club.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na anakutana na maboss huko na anaruka nao.

Nilivyogundua nikajifanya mshkaj na kujitoa mdogo mdogo.

So ni mwana sikuhizi.
Ana mtoto 8 yrs now. Amezaa na mwarabu. Ila hajaolewa.

Fame ile balaa sana. Ningekuwa ndez ingenichota sana.
 
Kipengele hiko tulishakijadili sana
Tunashukuru umekazia na kuwakumbusha mapimbi yasiyoolewa
 
Hapo sawa.... ulichosoea ni kumpangia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…