Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Naam mkuu upo sawa sawa maana kutokana na mazingira halisia umeme jua tunabidi tuutumie ipasavyo:
Changamoto ni kwenye gharama za vifaa japo ukijipanga unaanzaa mdogo mdogo:
1. Kuvuta paneli 3 za watt 150 (450)
2. Unaenda kwa charger controller (victron)
3. Unaenda kwenye betri 12v au 24v
4. Inveter kama unahitaji kutumia vifaa (tv,pasi,n.k)
5. Viambatanishi kama taa n.k
Maana kwa majengo yanayopatikana ukanda wa pwani yanahitaji nishati kubwa katika
1. Kupoza jengo 47%
2. Mwanga kwenye jengo 40%
3. Vifaa (pasi,tv,n.k)hutumia takriban 13%
Mimi nimefunga January mpaka leo iko vizuri, hakuna mabadiliko. Au ulifunga huu umeme wa zola wa mkopo?Zinakufa sekunde tu hzo unaanza kutafuta lak8 ya kufnga mpya bora uvte umeme ujipimie matmiz yako ulipe tratbu
Solar Kuna kipind huwa inachoka na kuwa kero mwanga unaanza kuwa hafifu hata frij itashndwa kfnya kaz ipasavyo na badae hata taa zinazimika kabla hakujakucha umeme sahiv kuvuta ni 27k tu kama huduma ipo karbu na ww unaweza kuvuta tu hzo solar zinasaidia huko vjijin sehem ambayo haina umemeMimi nimefunga January mpaka leo iko vizuri, hakuna mabadiliko. Au ulifunga huu umeme wa zola wa mkopo?
Mr. System ya milioni 2 inaweza kuwasha friji mpaka tatu. Au ukawasha moja huku unavuta maji ardhini kwa matumizi ya nyumbani.So long unasema wewe sio fundi, naelewa kuwa you have no clue kwenye solar systems.
Yani system ya milioni 2 iwashe friji nyingi na water pump? Ingekua hivyo tusingehangaika na Tanesco
Umeme wa jua ni bure kimatumizi lakini unafaa kwa matumizi madogo tu ya kuwasha taa na TV, kwa matumizi makubwa kama hayo uliyotaja investment cost ni kubwa sana up to 10 million na bado maintenance costs ipo kwa sababu ukiwa na matumizi makubwa battery life span inashuka kiasi cha kuhitaji replacement hata kila mwaka
Ni porojo tu,Mr. System ya milioni 2 inaweza kuwasha friji mpaka tatu. Au ukawasha moja huku unavuta maji ardhini kwa matumizi ya nyumbani.
Nimefunga hiyo ya m.2 ninapata maji na friji inanguruma ndani.
Pasi ya 12v ipo lakini haina maana kuwa ndio inapunguza matumizi, heating element inahitaji wattage kubwa na high current, hata ukitumia pasi ya 12v huwezi kuitumia kwa zaidi ya dakika 30 kwenye betri ya 100wattshii kitu ya ghali sana na sumbufu sana kufikia kunyoosha nguo kwa pasi ya 220V au kuna pasi ya 12v mimi nimekaa nayo kwa miaka 4 tu imepiga mzinga
Mtaalamu, 1.5kW ni kiwanda cha kufanya nini tena? Tuna pasi zenye mpaka 2.4kW, heater kwa matumizi madogo ya nyumbani ya mpaka 0.89kW.Mimi ni fundi na pia nina kiwanda kidogo nyumbani chenye matumizi ya 1.5Kwatts tu lakini batteries 10 za 100Watts zikiwa full charged (mpya) haziwezi run hiyo load kwa zaidi ya 8