Kama huna kiwanda ndani, umeme wa jua ni rahisi na wa uhakika?

Kama huna kiwanda ndani, umeme wa jua ni rahisi na wa uhakika?

Mwenye huhitaji WA BETRI zilizotumika kwny minara anicheck hakikisha INAHITAJI kweli na Una hela Sitaki usumbufu aisee. 0629945110
 
Zinakufa sekunde tu hzo unaanza kutafuta lak8 ya kufnga mpya bora uvte umeme ujipimie matmiz yako ulipe tratbu
Fanya research tena upya mkuu niko mahali kuna solar project ina run hotel 3 za hadhi ya nyota 5. Though ni mega project yenye panel zaidi ya elfu mbili mia sita.
Life span without panel services ni miaka 25. Kwa hivo si kweli kwamba zinakufa haraka Bali tunanunua Chinese products ambazo ni mbovu. Nenda na techolojia ya German au France utasahau
 
Sawa mkuu
 
Kwa kutumia original quality hiyo 2M aliyosema inanunua betri 2 tu 100watts na panel moja ya 200watts

Sasa imagine capacity hiyo ndio anasema inaendesha friji, taa na water pump, How? Water pump ndogo kabisa ni 750watts

Kila kitu kiko calculated, wala haihitaji kisingizio cha aina ya brand
Acha uongo, mimi nina water pump ya solar ya watts 250 na bado niliacha ndogo zaidi dukani. Ina uwezo wa kuvuta kutoka chini maji mita 15.
Acheni kukoleza mambo, pumbavu nyie.
Tunaotumia solar for years tunawaangalia tu
 
Umeme wa jua huwezi washa friji, tv labda iwe ndogo, ac, utawasha taa bulb 6 ukijitahidi.

Bado umeme wa januari ni muhimu
 
Back
Top Bottom