Nimepay antention kwako unaoneka mtoto una yas by mix tamu sana ....afu una muonekano mzur una nukia ....sasa nataka hiyo yas by mix mkuu na kazi nayoKuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa.
Kama unajua una sura personal na irregular shape, then mind your outlook.
Pita kwa maringo tuone uzuri wako na shepu , maneno matupu hayavunji mfupa kisura🤔Wenye sura personal utawajua tu
naunga mkono hojaPita kwa maringo tuone uzuri wako na shepu , maneno matupu hayavunji mfupa kisura🤔
Anapite atuonyeshe alicho mtunuku mamanaunga mkono hoja
Ila wewe jamaa mkorofi sana😅Hua unaandika utumbo ila hiki ulichosema leo ni cha ukweli Auntie