min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Bi mzuri anapiga ramli za shepu yake na uzuri hataki apite kwa maringo ili tuthibitishe alicho mpa mama yake.Ukiwasoma watu vizuri utagundua kua akili timamu bado ni bidhaa adimu mno katika maisha ya binadamu wa kisasa