Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

Ukiwasoma watu vizuri utagundua kua akili timamu bado ni bidhaa adimu mno katika maisha ya binadamu wa kisasa
Bi mzuri anapiga ramli za shepu yake na uzuri hataki apite kwa maringo ili tuthibitishe alicho mpa mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…