Kama huna nida njoo hapa tujadili hili swala namna ya kuepuka hichi kikombe cha mwarobaini.

Kama huna nida njoo hapa tujadili hili swala namna ya kuepuka hichi kikombe cha mwarobaini.

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,643
Reaction score
5,733
Waziri katambi cjui kitambi hilo tamko lako la nida hakikisha unawaambia watoa nida walegeze masharti yaan hata bora ya mganga wa kienyeji kuliko hayo ya nida.
Na nina uhakika 50% ya watanganyika hawana nida. Sasa unaposema mtakamata watu huoni hata wewe ulienda huko bungeni ukiwa na kisungura mfukoni ukakipgia chooni ukaenda kuongea hayo. Mmeshindwa kupambana na wanasiasa wenzenu hasira mnatuletea wananchi ni kama mnaongoza mazezeta. Jumatatu watu wakiamua kuandamana kuja kujiandikisha mtawaandikisha au ndo yale ya hujakidhi vigezo? Kwa nini kadi ya mpiga kura isiyo na maana inatoka cku hiyo hiyo lakini nida vikwazo kama vyote badala mbadilishe huo mfumo wa mpiga kura utumike kwa nida.
Guest, hotelini na airbnb watu wanazitegemea maishan leo hii vikwazo je watakula kwenu? Achia kiti na urudi kwenu.
 
Nchi imekua ni sawa na maisha ya singo mama. Kila mtoto na wazo lake ili mradi tu ajulikane kuwa yupo.
 
Wameshindwa ku-solve logistical issues za NIDA, wanakimbilia kutisha watu.

It’s lazy leadership.
 
Wameshindwa ku-solve logistical issues za NIDA, wanakimbilia kutisha watu.

It’s lazy leadership.
imagine na ni swala tu lakuamua maafsa nida watoke kama wanavyotoka kuandikisha kura mambo yaishe lakin kwa kuwa wanajua watatushia polisi wao wanafanya wanavyotaka. Wana mawazo finyu sana
 
imagine na ni swala tu lakuamua maafsa nida watoke kama wanavyotoka kuandikisha kura mambo yaishe lakin kwa kuwa wanajua watatushia polisi wao wanafanya wanavyotaka. Wana mawazo finyu sana
Wanachokifanya ni kutengeneza urasimu makusudi ili wasio na NIDA wawe ombaomba wa haki zao wenyewe.
 
Wanachokifanya ni kutengeneza urasimu makusudi ili wasio na NIDA wawe ombaomba wa haki zao wenyewe.
badala watoe elimu yenye ushawishi ati wao ni vitisho. Nchi zingne wanatoa elimu ya kuchukua vitambulisho na watu wanajitokeza na wanajiandikisha kweli lakini huku kwetu nikukomoana tu. Sasa mwenye guest au mwenye hoteli na nida vinahusianaje kama sio ujinga wa viongozi.
 
Pure incompetence.
 
Back
Top Bottom