Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio kama wale wanaume ambao hawana nyota kabisa Ukiwa na nyota plus una hela utakua mfano wa king mswati,
Kuna wanaume hawatumii nguvu na hela kuwapata wanawake
Kuna wanaume hawana nyota na wanawake ila wana hela, wanaposition fulani, au kipaji fulani hao wana-afadhali, ila huna nyota, huna hela, huna position yeyote au huna kipaji chochote kile mapenzi yanatakutesa sana utakua ni mtu mwenye bahati mbaya
Kwa wanawake kama huna nyota na wanaume utajikuta kila unao wakubalia ni vimeo huku ukiwakatalia wanaume wa maana mfano single mother wengi sio wote ukiwafuatilia sana utakuja gundua hawana nyota na wanaume