Kama huna nyota ya mapenzi/mahusiano utateseka sana

Akili za mtu mweusi hovyo sana,yaani kupata mwanamke na yenyewe ni Swala la kusumbua akili?
Hivi vitu enzi zetu vilikuwa vinakuja automatic tu,sasa badala ya kusumbua kichwa kufanya mambo makubwa kwenye nyanja uliyochagua kama music,sayansi,elimu,kilimo,nk,watu wanawaza ngono?!kupata wanawake!!
 
Hili ni jukwaa la urafiki na mapenzi jamiiforum inamajukwaa mengi nenda kwenye majukwaa ya science na technologia acha ujuaji wa kijinga hii inaonyesha jinsi gani ulivyo poyoyoyo
 
Hili ni jukwaa la urafiki na mapenzi jamiiforum inamajukwaa mengi nenda kwenye majukwaa ya science na technologia acha ujuaji wa kijinga hii inaonyesha jinsi gani ulivyo poyoyoyo
Mbona wewe unaonekana kuwa poyoyo kuliko yeye.
 
Wengine hela hatuna ila appearance inatubeba,,sasa sielewi good appearance ndo inaweza kuwa nyota yenyewe??
 
Na kwa nn umewafuayilia single mothers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…