Kama hutafukuzwa kazi, nini utamwambia bosi wako

Kama hutafukuzwa kazi, nini utamwambia bosi wako

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Sijui kama ni mimi tu au kina mwenzangu ambao mabosi wao ni their nightmares, hebu tupia hapa kama ukihakikishiwa kutofukuzwa kazi nini utamwambia bosi wako? Toka moyoni kabisa
 
Nitamkamata nitamuuliza why hajanifukuza alafu nitamshika mkono kwenda sittin room nitamuamkia shikamoo alafu nitamwambia alafu
 
Back
Top Bottom