Third Eye JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 373 Reaction score 210 Apr 4, 2013 #1 Sijui kama ni mimi tu au kina mwenzangu ambao mabosi wao ni their nightmares, hebu tupia hapa kama ukihakikishiwa kutofukuzwa kazi nini utamwambia bosi wako? Toka moyoni kabisa
Sijui kama ni mimi tu au kina mwenzangu ambao mabosi wao ni their nightmares, hebu tupia hapa kama ukihakikishiwa kutofukuzwa kazi nini utamwambia bosi wako? Toka moyoni kabisa
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Apr 4, 2013 #2 Nitamkamata nitamuuliza why hajanifukuza alafu nitamshika mkono kwenda sittin room nitamuamkia shikamoo alafu nitamwambia alafu
Nitamkamata nitamuuliza why hajanifukuza alafu nitamshika mkono kwenda sittin room nitamuamkia shikamoo alafu nitamwambia alafu