KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

Uwe unatongoza kwanza, akikubali ndo uombe namba.
Baadae ukianza kuitumia namba alokupa lazima akupe ushirikiano sababu ni demu wako tayari.
 
Hakuna ujana wa kuomba omba namba deal na kutafuta pesa hizo namba utaletewa tu hata bila kuomba
Nakuweka kwenye level flani ya maisha ikiwa haupo kwenye level hiyo basi unaumwa
 
Kuna jamaa yeye haombi na namba ya mdada bali anatoa namba yake na laki 5 ya vocha ili apigiwe na huyo mdada baada ya kuweka vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…