Kama hutaki kutongozwa funga pm!

Kama hutaki kutongozwa funga pm!

Mwanamke asiyetongozwa ana mapungufu.Kutongozwa ni heshima,ni ishara ya kuwa wewe ni mashine,wewe ni tausi wa ukweli.Heko kwenu mnaosumbuliwa na midume.
 
Unakuta mdada mzuri kabisa anasema yeye haitaji mwanaume Wa jf ila pm yake iko wazi 24\7

Yaani wewe dada umeniudhi sana!
Ulikosea kumtongoza haraka haraka ungemfanyia interview taratibu ungempata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sepetu my dear ndo buku saba yangu ya bodaboda ukala na getoni hukufika kabisa..
Sio vzr bora ungesema unashida na hela ya chips + pedi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwangu sana
 
Wana jf hebu tutumie lugha ya staha kwani sheria ya kukupeleka ktk mkono wa sheria IPO, hivi tusngeenda tupungue au tuonekane walioko humu watoto wa makopo!!!!!

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom