Kama huu uvumi ni wa kweli kuhusu Bill Gates ndoa kuvunjika basi kaniangusha vibaya

Mkuu amekuangusha alikuwa mwalimu wako wa mahusiano ?

Cha maana kama windows 10 ingekuwa mbovu kuliko windows 8 au Vista ungesema amekuangusha, hayo mengine ni maisha yake na yeye ndio mtaalamu wa maisha yake kuliko yoyote yule...
 
Hata mmiliki wa Facebook na yeye naona mke wake ana asili ya China
 
mbona nasikia Bill alikuwa na mambo ya kiembe samaki na ntu flan aliyejiua?
 
Na Mimi naunga mkono juhudi hizi tukaijenge Asia mpya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…