Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kumbe imawezekana Afrika tukaanzisha au kupromote vitu vyetu. Chini ni picha 2 za watu 2 tofauti like African comedians zilizo bamba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dada wewe.Watanisaidia nn
Kichwa chake ni maarufu kuliko ye mwenyewe!! Tunamuita mzee wa kubetHuyo Dogo kwny picha ya chini ametrend Afrika kuliko Trump Marekani na Ulaya.
Easy madam.Watanisaidia nn
Ujinga upi tena jamani🤔🤔🤔😂😂😂Kutozijua hizo picha mbili hakumpunguzii mtu chochote.Picha hizo zimehusishwa na ujinga ujinga mwingi ambao sioni kama una manufaa kwa yeyote.