Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
We dada wewe.Watanisaidia nn
Kichwa chake ni maarufu kuliko ye mwenyewe!! Tunamuita mzee wa kubetHuyo Dogo kwny picha ya chini ametrend Afrika kuliko Trump Marekani na Ulaya.
Easy madam.Watanisaidia nn
Ujinga upi tena jamaniπ€π€π€πππKutozijua hizo picha mbili hakumpunguzii mtu chochote.Picha hizo zimehusishwa na ujinga ujinga mwingi ambao sioni kama una manufaa kwa yeyote.