Kama huwezi kufanya chanting acha kabisa, jana nilitaka kuwehuka

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
 
Chanting ina direct connection na inner souls.. Manikins una interact na roho zipi unapoingia kwenye chanting
 
Ukituliza akili rudi utuambie wananchi wa kawaida maana ya chanting, faida na hasara na kilichokukuta.
 
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
Chanting ina direct connection na inner souls.. Manikins una interact na roho zipi unapoingia kwenye chanting
Ongezea nyama
Mojawapo ya chanting

the Brahma muhurta A peaceful and quiet ambiance, which takes place in the early hours of the morning before dawn, is regarded as an ideal time for spiritual practices. Chanting OM during this holy time is said to have an immense effect on your ability to concentrate, think clearly, and advance spiritually
 
Thed weld dwellers bana kwa kuiga tu. Unafanya yote hayo sijui machanting meditation with an empty stomach and not sure of the next meals huku una njaa kali lazima Brain iwe na mushkel.

C'mon FANYENI kazi!
 
Chanting ina direct connection na inner souls.. Manikins una interact na roho zipi unapoingia kwenye chanting

Mojawapo ya chanting

the Brahma muhurta A peaceful and quiet ambiance, which takes place in the early hours of the morning before dawn, is regarded as an ideal time for spiritual practices. Chanting OM during this holy time is said to have an immense effect on your ability to concentrate, think clearly, and advance spiritually
seems like your account is hacked! uandishi wako wasasa na wazamani tofauti
 
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
Chanting ina direct connection na inner souls.. Manikins una interact na roho zipi unapoingia kwenye chanting
Ongezea nyama
Mojawapo ya chanting

the Brahma muhurta A peaceful and quiet ambiance, which takes place in the early hours of the morning before dawn, is regarded as an ideal time for spiritual practices. Chanting OM during this holy time is said to have an immense effect on your ability to concentrate, think clearly, and advance spiritually
seems like your account is hacked! uandishi wako wasasa na wazamani tofauti
downloadfile.jpg
 
View attachment 3089630
 
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
Mkuu embu tulia kwanza, alafu eweleze mwanzo mpaka mwisho, maana hapa umekuja na conclusion...

Wakati unafanya hiyo chant ulikuwa katika mazingira gani?

Na chant uliyokuwa ukiitamka ni chant gan?

Lengo lako hasa lilikuwa ni nini katika huo mpango wako.

Jibu haya ndio watu wakusaidie kukuelekeza vile ulivyotakiwa ufanye na upate matokeo ya yale uliyokuwa unayataka
 
Back
Top Bottom