Kama huwezi kufanya chanting acha kabisa, jana nilitaka kuwehuka

Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
Kama kilichokutokea ni baina yako na Mungu na huwezi kushare hapa, nini maana ya kuweka hii mada kwetu?
 
Mwenyewe najiuliza the same question..... Kwamba anataka kuambiwa pole🤔
Kubembelezwa aeleze kimemtokea nn🤔
Au kutrap attention za watu!!!

Haijalishi umri ila maturity ndo inamsumbua mleta mada
Mkuu unajua wanaume tunapitia balehe kadhaa?

Mwenzetu kamaliza zote na akili ipo before balehe😀
 
Sema umekutana na kitu gani kwanza wataalam wakwambie uepuke vipi.

Cc Rakims
Ingawa hajafafanua thread lakini nita quote kwako kinachoweza kumsaidia.
Kwanza kabisa iangaliwe chanting ni nini?

Chanting;
ni utajo ambao mtu hutaja kwa mtindo wa kurudia rudia ambao unaweza kwenda kama nyimbo ya rejeo la Zaburi, au torat ama wimbo wa injili hiyo ndio mifano yake.

Tukiangalia haijalishi yeye alikuwa ana chant nini?
Yoyote mwenye kuchant chochote maana yake anajaribu kuamsha energy ambayo inasafiri kutoka kwenye Throat chakra kisha inatetemesha third eye chakra na mwisho inagonga hodi kwenye crown chakra ambayo huanza kumrejeshea cosmic energy ambayo itasambaa eneo hio na maeneo ya nje kwake ambayo yataleta kwake mbadirishano wa mawimbi.

Kumbuka: Ubongo wa mwanadamu kazi yake si kufanya matendo ya hiari na yasiyokuwa ya hiari pekee, Bali muda mwingine hutumika kama receiver ya kupokea cosmic messages. Hivyo anaefanya chanting ni sawa na anaefanya zikiri ikiwa chanting yake ni ya maneno au Humming and Buzzing sound mf; kuunguruma au kufanya mitetemo yoyote ya koo.

Kwa maana hiyo hata wewe leo ukianza kuchant squid waaaad, squid waaaad! squid waaaad!!! kwa sauti ya mitetembo basi ukifika kwa idadi yake utaona energy yake inapozaliwa.

Hiyo ubongo wako ni sawa na simu ambayo itakuwa inapiga kwenda nje na roho ama chochote chenye energy ya muda huo kikipokea au kusikia mawimbi yako basi kitakuitikia au kukujia,

Ni kama vile mtu anaeimba nyimbo, Anaimba akiwa peke yake kisha watu wakianza kusikiliza wanakuja sasa katika hao wanaokuja ikiwa nzuri watamsifia na kumtunza na ikiwa mbaya watamtukana na kumbeza.

Hivyo hivyo kwa maneno mengine; Chanting ni sawa na nyimbo za kiroho ambazo either ataskiliza Mungu au Malaika au Shetani au Aliens au vile ambavyo vipo kwenye universe tusivyovijua.

Imagine upo porini peke yako na ukaanza kupiga kelele au kuita msaada. Wanaweza kuja watu kukusaidia lakini vile vile wanaweza kuja wanyama na kukuua, au ikiwezekana watakimbia kwa kuogopa sauti yako.

Hivyo huenda ukapiga mluzi wakaja ndege na huenda ukacheka wakaja fisi. All in All this is the power of Voice into the spiritual Realms.

Rakims S.
 
Mimi kuna roho zilikuja na sauti sikio la kulia zikawa zinaniambia fanya hiki fanya kile adui wako ni huyu na kweli kila nikifanya zinanipa matokeo baadae nikajikuta nimetembea km 5 bila mwenyewe kujua mpaka watu waliponikamata na kunifunga kamba na kupelekwa hospitali na kupigwa sindano ya usingizi kuamka ndio akili imekuja sawa. Sirudii tena mkuu! Inawezekana intention yangu ilikuwa nzuri lakini naona kama nilifika level ambayo siwezi kujicontrol. Sasa sijajua levels za chanting zikoje labda unisaidie mkuu
 
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.

Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio anajua.

Nawasilisha.
Acheni kabisa haya mambo ya kuwasiliana na roho za giza mnaweza kupata madhara makubwa!
 
Mimi kuna roho zilikuja na sauti sikio la kulia zikawa zinaniambia fanya hiki fanya kile adui wako ni huyu na kweli kila nikifanya zinanipa matokeo baadae nikajikuta nimetembea km 5 bila mwenyewe kujua mpaka watu waliponikamata na kunifunga kamba na kupelekwa hospitali na kupigwa sindano ya usingizi kuamka ndio akili imekuja sawa. Sirudii tena mkuu! Inawezekana intention yangu ilikuwa nzuri lakini naona kama nilifika level ambayo siwezi kujicontrol. Sasa sijajua levels za chanting zikoje labda unisaidie mkuu
Level hiyo ya sauti huwa ni hatua ya pili katika hatua za chanting, Ambayo sasa wewe unakuwa unapokea mawimbi baada ya kuwasha ubongo wako kwa chanting nayo kupelekea Kutingisha crown chakra ambayo ipo utosini which ni kama remote ambayo wenye mapepo huita rasi.

Kile ambacho jini hushika na kuanza kukutumikisha useme maneno unayosema, hivyo hii ikiwa wazi na kwa mtu aliyefungua kwa kuchungulia hizo chakra basi anaweza kupewa ujumbe na chochote hapo.

Either malaika, jini, shetani au hapa cosmic energy...

Hatua baada ya hapo ni uwezo wa mtu kuhimili na kuanalyze hiyo energy hivyo kama hukuseal aura basi tarajia lolote kukukuta ndio mfano hivyo kukimbia hovyo kwa maana unaweza kuingiwa na energy ya kichaa.

Yote kwa yote masomo na matendo haya bila muongozo wa mwalimu ni risk sana.

Ni somo zuri sana na lina matokeo na kweli haya mambo ya kiroho yapo, sema nilikosa mwongozo mzuri ndio maana mchana nilikuwa nina uwezo mkubwa tu wa kutambua mambo mengi katika ulimwengu wa kiroho, nadhani ilivyofika jioni ndio mambo yakqbadilika. Anyway Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri sana, Mwenyezi mungu akupe hekima zaidi, nitakutafuta private kwa ajili ya maelekezo zaidi. Ahsante sana
 
Unaweza kujifunza na wanafunzi wengine kwenye group ya Awakening ingawa humo unatakiwa uwe na hekima sana

Link Ipo Chini

GROUP ZILIZOPO NA TARATIBU ZAKE:

1: Meditation

Katika group hii member hujifunza kila kitu kinachohusu Elimu ya Meditation, Nguvu za miujiza Astral Projection kwa upande wa Meditation ikiwa hujui Meditation ni nini na faida zake basi rejea hapa;

View: https://www.youtube.com/watch?v=MWrjTqV3ovU&list=PLCxOn3pv1vHPbCraTmNDCXaejc-N4PzPs

VIGEZO VYA KUJIUNGA:

1: Uwe ni mwenye kujua meditation ni nini?
2: Uwe ni mwenye umri kati ya miaka 24 na kuendelea.
3: Uwe ni mwenye muda wa kujifunza kila siku na kila kinachoendelea kwenye group
4 Uwe ni mwanafunzi active

Meditation asilimia 90% ya watu wenye hekima na mafanikio ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.

Ada yake ni 50,000Tsh kwa kila mwezi na kiingilio ni 120,000Tsh.

Note:

humo utakutana pia na member wengine ambao teyari wana experience na meditation.

2: Jinn invocation

Hii ni group ambayo inahusu elimu ya Majini yote kwa ujumla kuwatambua na kuwatumia ikiwa ni pamoja na kuwaongoza na kupambana nao,

Hivyo hii ni elimu ya kuhusu majini kuanzia chini ya elimu na kuenda hadi juu, Vigezo kwenye group hii vinahitaji kuzingatiwa ambavyo ni;

1: Umri
2: Akili timamu
3: Hekima

Mtu ajue anachofanya

Kiingilio chake ni 200,000Tsh

Ada ya group hii ni 80,000Tsh kwa mwezi nayo mwezi mmoja unatosha mtu kupata anachotaka.

3: Rakims Spiritual World

(Itakusanya Elimu zake ambazo ni advance na mchanganyiko elimu za kitabu, majina ya Barhatiyah na Kutafsiriwa ndoto )

Ada ya wanafunzi waliopo kwenye group zingine ni 150,000Tsh ada ya mwanafunzi mgeni ni 300,000Tsh

Hizo ndizo group zilizopo sasa hivi na ndizo zenye nafasi zingine zote zimeisha na zikiisha hazita anzishwa.

GROUP YA UJUMLA NI THE AWAKENING;

Nayo ina taratibu zake; Hii inapokea wanafunzi na kufundishwa kwa kupigia kura elimu husika na ndio group itakuwa inatoa nofication za kwenda live kwa mwalimu Tiktok

Ada yake ni Bure:

The Awakening 🌍

Rakims S.
 
Kwa hio hali mbona kama kuna watu watakimbia na kuacha ada zao nyuma?😃

Hapana mkuu. Yeye kaomba kupata zaidi hivyo awakening ina siku za maswali na majibu na humo wanakaa pia wenye negative thinking kama wewe, Ili kummotivate mwalimu kuzidi kufundisha zaidi.

Yote kwa yote huu ni ujumbe kwake aliyeuliza sio wa kwako wala wa mwingine yoyote.

ScreenShot_20240915093717.jpeg
ScreenShot_20240915093804.jpeg

Nadhani information hii inatosha kuondosha kebehi yako.

Rakims S.
 
Back
Top Bottom