Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

Wanaume nimeita kikao cha dharura usiku huu Kwa sababu kuna udharura WA kufanya hivyo.

Leo mchana wakati napitia baadhi ya nyuzi humu Jf,kuna mwamba mmoja yamemkuta na hivi ninavyoongea huenda akaacha makazi yake kwenda mbali na mji wake,na hii baada ya kufuma msg ya mkewe akipanga mipango ya kunyanduana na class mate wake.

Sasa Kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba mume alimtaka mkewe aondoke lkn mke kasema nipige lakini hapa kuondoka siondoki Kwa maana haendi kwao kama mume alivyotaka,so badala yake mume anataka kuondoka yeye na kwenda mbali na makazi yake.

Nikaona hapana haya mambo hayawezi kupita hivi hivi Bila kuitisha kikao cha dharura na kupeana mawili matatu ili mambo kama haya yasimtomkee mwanaume mwingine.

Sasa machief ni hivi kama unahisi au unajua kabisa unampenda Ur baby mama na huwezi kumwacha au unajua kabisa ukijua mambo yake ya Siri utaumia na kukosa Amani mpaka kuamua kuacha mji wako na kusepa basi nashauri hivi USIMCHUNGUZE TAFADHALI Kwa maana usifuatilie mawasiliano yake kujua anawasiliana na Nani na mambo kama hayo.

Sijui kama wajumbe mmenielewa? Narudia tena USIMCHUNGUZE KABISA hii itakusaidia kuwa na Amani na kufurahia ndoa Yako,haya mambo ya kucheki msg na kukagua kagua Simu sio mazuri Kwa afya yako kama mwanaume.

Ndio matokeo yake utoe kichapo na kumdhuru mtu na mwishoe uende ukaishi kwenye majumba ya serikali Bila kutarajia,ndio namaanisha selo au gerezani. Kwahiyo tuachane na haya mambo ya kuchunguza chunguza kama kweli tunataka kuishi Kwa Amani,au chunguza wakati unajua kabisa Una moyo mgumu Kwa maana umekuta mambo ya ovyo basi uwe jasiri kusepa Kwa Amani Bila kudhuru mtu na kufungua kurasa mpya katika Maisha yako.

Haya yanawezekana kabisa maana msiseme Mwenyekiti WA kikao anasema Tu Kwa mdomo lakini vitendo hamna,haya Mimi niliyaishi katika ndoa yangu kabla sijasitisha mkataba,niliyaiishi Kwa Miaka Saba na sikushighulishwa na Simu ya mke wangu hata kidogo, na nilikuwa na Amani Tu.

Na hata nikiingia mkataba mwingine WA ndoa Sera yangu ndio hio hio kwani nimeona INA faida zaidi kimwili na kiakili pia.

Na kuna watu wanayaishi haya Maisha mpaka Leo na tabasamu linatawala ndani ingawa huenda kuna makando kando huko nje lakini hawajatafuta sababu za kuleta mitafuruku ndani ya ndoa.

Ndio maana wazee wetu huko nyuma walikuwa na utaratibu mmoja,si unajua zamani kulikuwa hakuna Simu,basi akirudi katika mji wake,atamtuma mtoto apeleke koti nyumbani ili kusafisha njia hata kama bimkubwa alikuwa anafanya rafu basi ajiweke Sawa na Mzee akirudi asikute Baya lolote ili furaha itawale ndani ya nyumba,na walikuwa wanarudi safari mchana coz waliogopa usiku wasije kushtukiza na kukutana na mambo ambayo yangewaumiza.

Siku hizi Sisi tuna Simu basi ukiwa unarudi mtaarifu kabisa mamsapu kuwa kesho natia timu nyumbani ili hata kama kulikuwa na mtu anakusaidia kulinda nyumba yako basi wakati unarudi asiwepo ili uwe na Amani.

Unajua kwanini walifanya yote haya ni kwasababu walijua kabisa Kwa wao kutojua Jambo hakuna madhara lakini wakijua lazima kuwe na madhara ya kimwili na kiakili pia, sijui mmenielewa wanaume wenzangu?

Anyways ni kikao cha dharura hivyo hakina mambo mengi,kazi kwenu kukubaliana na Mimi muwe salama au mpinge mpate presha na kukimbia mji wenu.

Ni hayo Tu!
Sasa hiki siyo kikao, bali ni taarifa unatupa na namna ya maisha yako jinsi unavyotaka uishi.

Ingelikuwa ni kikao, basi ungelitandaza hiyo ajenda namna rafiki yako alivyopata masaibu katika ndoa yake, tena kwa kirefu tukio zima lilivyokuwa na hatua alizozichukua.

Baada ya mjadala huo (ajenda hiyo) kabla ya kuahirisha kikao ndiyo tungelikuja na conclusion ya pamoja.

Lakini hadithi unazotupa eti kuwaacha wake zetu waishi watakavyo bila ya kuwafuatilia nyendo zao, unatupotosha!

Niulize "kwanini" ili nikufungukie!
 
Chief

Kwanza vikao vya Jf huwa hivi mkuu, naleta mada au tarifa hlf mwenye hoja anachangia.

Mkuu kuna watu wachunguzaji na wafuatiliaji lakni wanapigiwa Tu huo ndio ukweli

Anyways ....Fungua code chief
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani ujue!

Lakini kumfuatilia ndiyo ataona unamjali na atajiheshimu kwa kiasi flani.

Ukimpa uhuru wa kutogusa simu yake, sijui kutomfuatilia, uhuru huo atautumia vibaya hadi atavuka mipaka!

Akijua anachungwa, atafanya mambo yake kwa kutumia akili sana na hiyo ndiyo heshima sasa.

Lakini kusema utamzuia na kumlinda kwa 100% haiwezekani.
 
Nakubaliana na wewe Jambo moja kuwa hiyo itamfanya walau kidogo awe Makini lkn sio kwamba ndio hawezi kupiga matukio.

Unajua atachofanya hapo ni kumwambia jamaa usinitafute mpaka Mimi nitakapo kutafuta,na ndio maana nakwambia unaweza kukaa na Simu siku nzima na huwezi jua kinachoendelea kabisa.

Hiyo michezo Mimi nimecheza pia,demu hanitafuti kama Mimi sijamcheki hata ipite wiki nzima,ndio maana nasema kumchunga mwanadamu ni kazi Sana,Kikubwa ajichunge mwenyewe tu
 
Wanaume tumeumbiwa mateso mkuu,huku Maisha magumu huku wapendwa wetu wanazingua

Anyways Maisha lazima yasonge mbele
"Siwezi lea mama Mwingine, wakati Mama yangu nishazika"

MANENO ya mke wa jamaa Baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake stendi!!

Kama kungekuwa na NAFASI ya kurudi na kumuomba muumna jambo!ningemwambia usiniumbe niache dunia inamateso SANA!
 
Wanaume nimeita kikao cha dharura usiku huu Kwa sababu kuna udharura WA kufanya hivyo.

Leo mchana wakati napitia baadhi ya nyuzi humu Jf,kuna mwamba mmoja yamemkuta na hivi ninavyoongea huenda akaacha makazi yake kwenda mbali na mji wake,na hii baada ya kufuma msg ya mkewe akipanga mipango ya kunyanduana na class mate wake.

Sasa Kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba mume alimtaka mkewe aondoke lkn mke kasema nipige lakini hapa kuondoka siondoki Kwa maana haendi kwao kama mume alivyotaka,so badala yake mume anataka kuondoka yeye na kwenda mbali na makazi yake.

Nikaona hapana haya mambo hayawezi kupita hivi hivi Bila kuitisha kikao cha dharura na kupeana mawili matatu ili mambo kama haya yasimtomkee mwanaume mwingine.

Sasa machief ni hivi kama unahisi au unajua kabisa unampenda Ur baby mama na huwezi kumwacha au unajua kabisa ukijua mambo yake ya Siri utaumia na kukosa Amani mpaka kuamua kuacha mji wako na kusepa basi nashauri hivi USIMCHUNGUZE TAFADHALI Kwa maana usifuatilie mawasiliano yake kujua anawasiliana na Nani na mambo kama hayo.

Sijui kama wajumbe mmenielewa? Narudia tena USIMCHUNGUZE KABISA hii itakusaidia kuwa na Amani na kufurahia ndoa Yako,haya mambo ya kucheki msg na kukagua kagua Simu sio mazuri Kwa afya yako kama mwanaume.

Ndio matokeo yake utoe kichapo na kumdhuru mtu na mwishoe uende ukaishi kwenye majumba ya serikali Bila kutarajia,ndio namaanisha selo au gerezani. Kwahiyo tuachane na haya mambo ya kuchunguza chunguza kama kweli tunataka kuishi Kwa Amani,au chunguza wakati unajua kabisa Una moyo mgumu Kwa maana umekuta mambo ya ovyo basi uwe jasiri kusepa Kwa Amani Bila kudhuru mtu na kufungua kurasa mpya katika Maisha yako.

Haya yanawezekana kabisa maana msiseme Mwenyekiti WA kikao anasema Tu Kwa mdomo lakini vitendo hamna,haya Mimi niliyaishi katika ndoa yangu kabla sijasitisha mkataba,niliyaiishi Kwa Miaka Saba na sikushighulishwa na Simu ya mke wangu hata kidogo, na nilikuwa na Amani Tu.

Na hata nikiingia mkataba mwingine WA ndoa Sera yangu ndio hio hio kwani nimeona INA faida zaidi kimwili na kiakili pia.

Na kuna watu wanayaishi haya Maisha mpaka Leo na tabasamu linatawala ndani ingawa huenda kuna makando kando huko nje lakini hawajatafuta sababu za kuleta mitafuruku ndani ya ndoa.

Ndio maana wazee wetu huko nyuma walikuwa na utaratibu mmoja,si unajua zamani kulikuwa hakuna Simu,basi akirudi katika mji wake,atamtuma mtoto apeleke koti nyumbani ili kusafisha njia hata kama bimkubwa alikuwa anafanya rafu basi ajiweke Sawa na Mzee akirudi asikute Baya lolote ili furaha itawale ndani ya nyumba,na walikuwa wanarudi safari mchana coz waliogopa usiku wasije kushtukiza na kukutana na mambo ambayo yangewaumiza.

Siku hizi Sisi tuna Simu basi ukiwa unarudi mtaarifu kabisa mamsapu kuwa kesho natia timu nyumbani ili hata kama kulikuwa na mtu anakusaidia kulinda nyumba yako basi wakati unarudi asiwepo ili uwe na Amani.

Unajua kwanini walifanya yote haya ni kwasababu walijua kabisa Kwa wao kutojua Jambo hakuna madhara lakini wakijua lazima kuwe na madhara ya kimwili na kiakili pia, sijui mmenielewa wanaume wenzangu?

Anyways ni kikao cha dharura hivyo hakina mambo mengi,kazi kwenu kukubaliana na Mimi muwe salama au mpinge mpate presha na kukimbia mji wenu.

Ni hayo Tu!
Kmmke

Mzee wa kupambania

Haijawahi kukuta umemla class mate wako [emoji491] afu awe mkee wa mtu [emoji23][emoji23]

Hii ni id ya tombilo mkuu
 
Asante mkuu kwa dokezo hilo. Lakini mimi nasema hivi: mwanamke yu chini yangu (bila kujali wadhfa, elimu, umri, nk), hivyo anapaswa kuenenda kwa kadiri ya misingi ya ndoa. Awe mkristo, au muislam, mwanaume ndio kichwa cha familia. Hivyo, hawezi kwenda kinyume na misingi hiyo!

Huyo jamaa unayemuongelea, namshangaa sana kwa kitendo hicho cha kidhaifu (uamuzi wa kidhaifu) alichochukua! Utaukimbiaje mji kwa sababu ya mwanamke? Ujue hiyo ni dhambi, kwa kuwa unakwenda kinyume na maadili ya Mungu! Huyo unayemuachia mji si ametokana na ubavu wako? Na uliambiwa ukaishi kwa akili na mke wako? Kwanini hukutumia akili? Alitakiwa atoke yeye na sio wewe!

Mababu zetu walifanya hivyo kwakuwa walienda umbali mrefu, na kwa kutambua asili ya binadamu, basi waliamua kufanya hivyo, hata hivyo jambo hilo lilifanyika kulingana na busara ya mtu; haikuwa sheria ambayo ingefuatwa na kila mtu!

Nawashauri wanaume wenzangu, mwanamke akileta jeuri (hii mwanamke anafanya kwa makusudi), au dharau, mtimulie mbali, vinginevyo utajiingiza kwenye mgogoro sio tu na jamii inayokuzunguka, bali pia na Mungu wako!
 
Sawa Mwenyekiti umeeleweka ... Ila ingekuwa vyema Kama ungekuwa wazi kuwa mhusika ni wewe mwenyewe...

Halafu naomba nikupinge zama za Leo ukijifanya usikague simu yA mkeo utatombewa mpaka apigwe mimba... Usifananishe zama za wazee na zama za leo kila kizazi na kitabu chake...

Mimi simu naikagua kila siku Tena mbele yAke na nimemwambia afute namba zote alizoblock na tukiwa wote home simu nakaa nayo Mimi .... Kama secretary wake.
You lack masculine frame.

Unajisifu jambo la hovyo Sana .Timiza wajibu wako Kama mwanaume ndani ya ndoa,then everything will fall into place. Kumfatilia fatilia Sana mwanamke ni dalili ya kutojiamini .Mwanamke Hapendi mwanaume asiyejiamini. Mfanye mkeo ajione yupo salama kuwa na wewe,hatokuja kukucheat.

kushika shika simu yake kila muda huo siyo uanaume. Mwanamke aliye katika mkao wa kumegwa,wewe mwanaume hauna njia/namna yoyote ya kumzuia asimegwe huko nje. Acha tabia za kivulana.
 
Wanaume nimeita kikao cha dharura usiku huu Kwa sababu kuna udharura WA kufanya hivyo.

Leo mchana wakati napitia baadhi ya nyuzi humu Jf,kuna mwamba mmoja yamemkuta na hivi ninavyoongea huenda akaacha makazi yake kwenda mbali na mji wake,na hii baada ya kufuma msg ya mkewe akipanga mipango ya kunyanduana na class mate wake.

Sasa Kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba mume alimtaka mkewe aondoke lkn mke kasema nipige lakini hapa kuondoka siondoki Kwa maana haendi kwao kama mume alivyotaka,so badala yake mume anataka kuondoka yeye na kwenda mbali na makazi yake.

Nikaona hapana haya mambo hayawezi kupita hivi hivi Bila kuitisha kikao cha dharura na kupeana mawili matatu ili mambo kama haya yasimtomkee mwanaume mwingine.

Sasa machief ni hivi kama unahisi au unajua kabisa unampenda Ur baby mama na huwezi kumwacha au unajua kabisa ukijua mambo yake ya Siri utaumia na kukosa Amani mpaka kuamua kuacha mji wako na kusepa basi nashauri hivi USIMCHUNGUZE TAFADHALI Kwa maana usifuatilie mawasiliano yake kujua anawasiliana na Nani na mambo kama hayo.

Sijui kama wajumbe mmenielewa? Narudia tena USIMCHUNGUZE KABISA hii itakusaidia kuwa na Amani na kufurahia ndoa Yako,haya mambo ya kucheki msg na kukagua kagua Simu sio mazuri Kwa afya yako kama mwanaume.

Ndio matokeo yake utoe kichapo na kumdhuru mtu na mwishoe uende ukaishi kwenye majumba ya serikali Bila kutarajia,ndio namaanisha selo au gerezani. Kwahiyo tuachane na haya mambo ya kuchunguza chunguza kama kweli tunataka kuishi Kwa Amani,au chunguza wakati unajua kabisa Una moyo mgumu Kwa maana umekuta mambo ya ovyo basi uwe jasiri kusepa Kwa Amani Bila kudhuru mtu na kufungua kurasa mpya katika Maisha yako.

Haya yanawezekana kabisa maana msiseme Mwenyekiti WA kikao anasema Tu Kwa mdomo lakini vitendo hamna,haya Mimi niliyaishi katika ndoa yangu kabla sijasitisha mkataba,niliyaiishi Kwa Miaka Saba na sikushighulishwa na Simu ya mke wangu hata kidogo, na nilikuwa na Amani Tu.

Na hata nikiingia mkataba mwingine WA ndoa Sera yangu ndio hio hio kwani nimeona INA faida zaidi kimwili na kiakili pia.

Na kuna watu wanayaishi haya Maisha mpaka Leo na tabasamu linatawala ndani ingawa huenda kuna makando kando huko nje lakini hawajatafuta sababu za kuleta mitafuruku ndani ya ndoa.

Ndio maana wazee wetu huko nyuma walikuwa na utaratibu mmoja,si unajua zamani kulikuwa hakuna Simu,basi akirudi katika mji wake,atamtuma mtoto apeleke koti nyumbani ili kusafisha njia hata kama bimkubwa alikuwa anafanya rafu basi ajiweke Sawa na Mzee akirudi asikute Baya lolote ili furaha itawale ndani ya nyumba,na walikuwa wanarudi safari mchana coz waliogopa usiku wasije kushtukiza na kukutana na mambo ambayo yangewaumiza.

Siku hizi Sisi tuna Simu basi ukiwa unarudi mtaarifu kabisa mamsapu kuwa kesho natia timu nyumbani ili hata kama kulikuwa na mtu anakusaidia kulinda nyumba yako basi wakati unarudi asiwepo ili uwe na Amani.

Unajua kwanini walifanya yote haya ni kwasababu walijua kabisa Kwa wao kutojua Jambo hakuna madhara lakini wakijua lazima kuwe na madhara ya kimwili na kiakili pia, sijui mmenielewa wanaume wenzangu?

Anyways ni kikao cha dharura hivyo hakina mambo mengi,kazi kwenu kukubaliana na Mimi muwe salama au mpinge mpate presha na kukimbia mji wenu.

Ni hayo Tu!
Kuoa ni ufala, ndoa ni uzuzu, kuwa mume ni undezi
 
Naam umekua KK Security Guard ni zaidi ya mume Ila akitaka kuchapwa nje atachapwa tu tena nje anakiachia kuliko anavyokiachia ndani

Nmewahi mtafuna mke wa mtu alidanganya kwa mumewe anakuja safari kikazi Kilimanjaro (tulipanga kukutana hapo) tukalala sehemu moja classic sana wiki nzima nikugonga kuchapa kugonga kuchapa, nyama choma wine na bear tunashushia maji kichapo tena, wiki imeisha anampigia mumewe 'mume wangu baba G nmeshakata tiketi narudi kesho timeshamaliza Seminar...'

Kabla hajaondoka nikamkandamiza la mwisho la kumbukumbu.. asubuhi nikampandisha kwenye bus akarudi kwa mumewe

KATAA NDOA
UTACHAPIWA TU
Nyie tuchapieni tu wake zetu lkn hatukatai ndoa ng'o.

Kwani tsh. Ngapi bhna

Kwanza wanasema haina makombo. we ukitoka kuichapa anaiosha vizuri anarudi home na mm nakandamiza .

Kizuri kula na mwenzako shehe.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Hivi Kwani kwanini simu iwe Siri km mnashea Siri zaidi ya simu,na kwanini mwanamke au mwanaume ucheat ktk ma ndoa?
Ndoa ni tendo takatifu linalonajisiwa na wanandoa wenyewe Kwa ushenzi na uhuni wao
Na ndo ktk uislam hukumu ya mzinzi aliye ndoani ni kubwa sana
Watafichana Wana ndoa ila Mungu hafichwi,na hii ndo inapelekea vijana wakatae nusu ya dini Yao Kwa sababu uzinzi Siku hizi wanawake tunaona fasheni
Kuna group nipo Yaani kule ni balaa wake za watu wazinzi afu wazinzi tena na Ndo maana wanaume mwarogwa Siku hizi
Mtu yoyote anayezini nje ya ndoa hata km rafiki yangu namdharau

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mwenyekiti umeeleweka ... Ila ingekuwa vyema Kama ungekuwa wazi kuwa mhusika ni wewe mwenyewe...

Halafu naomba nikupinge zama za Leo ukijifanya usikague simu yA mkeo utatombewa mpaka apigwe mimba... Usifananishe zama za wazee na zama za leo kila kizazi na kitabu chake...

Mimi simu naikagua kila siku Tena mbele yAke na nimemwambia afute namba zote alizoblock na tukiwa wote home simu nakaa nayo Mimi .... Kama secretary wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani kaahh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naam umekua KK Security Guard ni zaidi ya mume Ila akitaka kuchapwa nje atachapwa tu tena nje anakiachia kuliko anavyokiachia ndani

Nmewahi mtafuna mke wa mtu alidanganya kwa mumewe anakuja safari kikazi Kilimanjaro (tulipanga kukutana hapo) tukalala sehemu moja classic sana wiki nzima nikugonga kuchapa kugonga kuchapa, nyama choma wine na bear tunashushia maji kichapo tena, wiki imeisha anampigia mumewe 'mume wangu baba G nmeshakata tiketi narudi kesho timeshamaliza Seminar...'

Kabla hajaondoka nikamkandamiza la mwisho la kumbukumbu.. asubuhi nikampandisha kwenye bus akarudi kwa mumewe

KATAA NDOA
UTACHAPIWA TU
Astaghfirullaah...ukisoma hivi waweza jua maigizo kumbe Kweli yanatokea na watu wanachapiwa
Mke wa mtu kabisaa,mguu mosi,mguu pili Kwa hawara!!hajiulizi,Hana aibu,hamheshimu mumewe Wala watoto wake
Mungu ninusuri aseeh

Back
Top Bottom