Kama huwezi kutekeleza usikubali miadi (appointment)

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Kuna binti niliwahi kumuomba Namba akanipa namba Sasa nikasema nisiwe na haraka ya kumtongoza nikasema nianzishe nae mazoea nikawa namshiriksha kazi zangu za uandishi wa makala baadhi baadhi.

Akaona kama nampa vitu vigumu akaniblock nikafuta no yake Mzee nikapotezea ukapita mwezi kabsa.

Siku naona Namba inaingia ngeni "Helo Mr za siku nyingi" nilishangaa sana kipi kilichomfanya anitafute okay šŸ¤”wakati aliniblock haombi hela wala shida yoyote Ila akawa"ananipa Hi tu"
Tukapeane "Hi" ikaisha ukawepo utaratibu namtafta Baada ya wiki mbili nayy anantafuta Baada ya wiki kadhaa hivo (Yan two way communication) basi nikaamua kumuapproach akawa Ana waswasi akihisi huenda mimi ni tapeli wa mapenzi

Basi mkasa ukatokea, nikamwambia tukutane kwa mara ya kwanza ili tufahamiane kwa uchache zaidi Tena nkamtajia sehemu ya Wazi jirani na anapoishi (nilifanya hivi kumtoa hofu maana mimi kwake ni mgeni si unajua Tena daslam huwez muamini mtu usiyemjua) akakubali kufika jioni sa12 napiga simu hapokei, tuma Text haji(utaratibu wangu huwa napiga mara mbili natuma text mara moja basi! kama namtumia mwanamke) nikasema fresh nikapotezea

Akaja kunitafta wiki iliyofuatia (nikajiuliza Huyu binti anataka nini nakaa kimya Ila mwenyewe ananianza).

Basi akanitext nikajibu vizuri tu nikamwomba nikamweleza Tena tukutane.

Akakubali basi nikaenda nikamsubiri huku nakula mitungi taratibu hiyo sehemu sa12 jion ndio mda mzuri lakini hakutokea, hakupokea simu wala hakujbu txt yangu ile moja (nikaona hi dharau Sasa hi Mara ya pili anarudia kitu kile kile atazoea).

Akaja kunjibu sambili usku
(ety sory nilikua nafua) nilipata jazba kishenzišŸ¤”

Nikareply kwa hasira "those childish games go and play with your fellow children grow your brain basišŸ™„akili kama wenye makalio makubwa bhn " (maana ye ni slim girl).

Akajam kmmke🤣ety nimemjibu kidharau "umenioneshea dharau kwa kuniona mtoto kisa kukataa appointment" akasema hawezi date mtu mwenye hasira hasira

Dah 'Ila ase kina dada mukiombwa appointment kama hamna mpango muwe straight Asee) watu tunamipangilio ya ratiba.

1. Nitoe pongezi kwa wadada wote wasiokula nauli na wanaokuja kwa wakati 2.Nitoe pongezi🤣wanaoirudisha ikichomoka
 
Sijawahi kuomba appointment na mwanamke, appointment ni za mishe mishe tu. Kwangu Mimi binafsi si kipaumbele kabisa na sijawahi fikiri, Kuna hatua Fulani ukifika wanawake kama huwaoni vile au kama ukiwa unawaona unahisi ni kama dada au bibi zako.
 
Utaratibu wangu sitongozi wala sijengi mahusiano na mtu asie nipa attention maana sipendi kupoteza muda wangu kubembeleza Minora na ukiingia huo mtego jiandae kutumika, kua disappointed na kujiona mjinga/kudharaulika.

Nipe nikupe, Toa muda nikutongoze, tokea site tule tunywe, nizingatie Minora nikuchape na Vibunda.
 
Hapo wewe ndio imekuwa na tabia za ke na ke amekuwa na tabia za me....huyo ilibidi upige buyu since pale alivyoku-block..binafsi demu akini-block ndio bye bye hata akird me sina time nae tena.
 
Fact
 
atakuwa bado mtoto, mtu mzima anafika eneo husika kabla yako, tena anaagiza kabisa misosi ili uje kulipa
 
She was testing your emotional intelligence na akakuona ni dhaifu. Kama anakuzungusha , dawa pekee ni kuwa kimya, hesabu hasara na move on, akirudi ujue ana hisia na wewe asiporudi ujue hana hisia na wewe, ni win to win situation.
 
Watoto ndio wanakuwaga na sababu za nilitumwa na mama, mara dada hakuwepo, nilikuwa nafua, yaani ile appointment ya kwanza ilitosha kumkacha
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/THEREPORTERKE/videos/541167141901252/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…