Kama huwezi kutekeleza usikubali miadi (appointment)

Sinaga muda wa kupoteza at first asipotokea tu nampotezea wala simwambii lolote. Akiamua kunitafuta na kuonesha hisia kwqngu tutaendelea, vinginevyo imeisha hiyo
 
Huwa nawashangaa sana vijana kwanini mnababaikia wanawake. Mbona decent women wapo wengi tu mtaani.

Mimi mara ya mwisho nimewasiliana na mwanamke kwa muda wa hata dakika mbili au kuchat na mwanamke text zaidi mbili sikumbuki ni lini.

Nikitumia muda wangu kuongea au kuwasiliana na mwanamke basi awe ndugu yangu, anataka kunishirikisha dili la kupiga hela au nigundue yupo smart kichwani kwaiyo naweza kupata maarifa mawili matatu.

Anyway, uyo mwanamke ni mdangaji maarufu kama wadada wa mjini., izo siku ambazo mlipanga appointment ulikua kwenye foleni na wanaume wenzako, akawafanyia evaluation akaona wewe ndio fala wa kukuacha solemba.

Uyo mwanamke ashagundua wewe ni simp, kwa sasa amekuweka tu kwenye circle yake ili aje kukutumia kama leverage wakati ukifika
 
Mbona Ata sijawah muhonga
 
Mbona Ata sijawah muhonga
Ilo sio tatizo. Ashajua wewe ni nice guy, for now she is having fun with bad boys. Nice guys mnawekwa pending kwanza, mtapewa nafasi akishamalizana na hoe and partying phase katika maisha yake.
 
Back
Top Bottom