Kuna binti niliwahi kumuomba Namba akanipa namba Sasa nikasema nisiwe na haraka ya kumtongoza nikasema nianzishe nae mazoea nikawa namshiriksha kazi zangu za uandishi wa makala baadhi baadhi.
Akaona kama nampa vitu vigumu akaniblock nikafuta no yake Mzee nikapotezea ukapita mwezi kabsa.
Siku naona Namba inaingia ngeni "Helo Mr za siku nyingi" nilishangaa sana kipi kilichomfanya anitafute okay 🤔wakati aliniblock haombi hela wala shida yoyote Ila akawa"ananipa Hi tu"
Tukapeane "Hi" ikaisha ukawepo utaratibu namtafta Baada ya wiki mbili nayy anantafuta Baada ya wiki kadhaa hivo (Yan two way communication) basi nikaamua kumuapproach akawa Ana waswasi akihisi huenda mimi ni tapeli wa mapenzi
Basi mkasa ukatokea, nikamwambia tukutane kwa mara ya kwanza ili tufahamiane kwa uchache zaidi Tena nkamtajia sehemu ya Wazi jirani na anapoishi (nilifanya hivi kumtoa hofu maana mimi kwake ni mgeni si unajua Tena daslam huwez muamini mtu usiyemjua) akakubali kufika jioni sa12 napiga simu hapokei, tuma Text haji(utaratibu wangu huwa napiga mara mbili natuma text mara moja basi! kama namtumia mwanamke) nikasema fresh nikapotezea
Akaja kunitafta wiki iliyofuatia (nikajiuliza Huyu binti anataka nini nakaa kimya Ila mwenyewe ananianza).
Basi akanitext nikajibu vizuri tu nikamwomba nikamweleza Tena tukutane.
Akakubali basi nikaenda nikamsubiri huku nakula mitungi taratibu hiyo sehemu sa12 jion ndio mda mzuri lakini hakutokea, hakupokea simu wala hakujbu txt yangu ile moja (nikaona hi dharau Sasa hi Mara ya pili anarudia kitu kile kile atazoea).
Akaja kunjibu sambili usku
(ety sory nilikua nafua) nilipata jazba kishenzi🤔
Nikareply kwa hasira "those childish games go and play with your fellow children grow your brain basi🙄akili kama wenye makalio makubwa bhn " (maana ye ni slim girl).
Akajam kmmke🤣ety nimemjibu kidharau "umenioneshea dharau kwa kuniona mtoto kisa kukataa appointment" akasema hawezi date mtu mwenye hasira hasira
Dah 'Ila ase kina dada mukiombwa appointment kama hamna mpango muwe straight Asee) watu tunamipangilio ya ratiba.
1. Nitoe pongezi kwa wadada wote wasiokula nauli na wanaokuja kwa wakati 2.Nitoe pongezi🤣wanaoirudisha ikichomoka