ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,803
- 24,943
Nyuma ilikua gharama sana miaka ile mpaka 1M ilifika ili upewe now chuma inahamishwa tu shwaaaaaKing Kong III
Mandingo
secretarybird
Moisemusajiografii
Kipindi kile mnanunua CD, mnaficha kwenye mabegi yenu mnasubiria baba na mama waondoke ili mkawake kupitia tv chogo ya sharp😁
Mlivyokuwa mkanunua nokia asha na blackberry mkawa mnaingilia kupitia opera mini kufuatilia rahatupu ili muwake😁
Sasa mmeshakuwa sijui bado mpo bado au mmestaafu?