Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

This is disgusting! mind your own business- simple mind. Umba wako
 
Wewe utakua mama watoto wa benpol si kwa wivu huo
 
Baba yako wakati anamchumbia mama yako na mpaka wewe ukapatikana ,kama angelikuwa anasikiliza maneno kama yako,unayosema dhidi ya Ben Pol ,wewe ungelikuwepo sasa hapa na kuandika upuuzi huu!!? Nenda zako uzuri na ubaya anaujua mama yako
 
Mzuri sana Ebitoke... vp hao wadada wa mjini wakijipaka hivyo usoni watakuaje?[emoji30][emoji30][emoji30]
 
sijamuandama Bali naongea ukweli, siyo kama nyie mnaompaka matope
Ni kwa nini huu ukweli usiende kuwaambia shemeji zako wawaache Dada zako?maana ebitoke hakuhusu kabisa utakonda bure kwa vitu visivyokuhusu mswahilina wewe
 
Back
Top Bottom