Kama ilishindwa EU ndiyo BRICS itaweza kupambana na Marekani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
 
Usiifananishe EU na BRICS, EU ni kichaka cha Marekani. Unaweza nipa sababu zenye mashiko Kwann UK alijitoa???
 
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Kuna wakati unapaswa kusoma sana ili uweze kutoa maoni au kuanzisha mada.

BRICS haijaanzishwa kushindana au kupambana na Marekani, soma tena na tena.

Badala yake ni club kama say ilivyo G7 (ingawa wanatofautiana) kwa lengo la kuwa na mfumo bora wa kibiashara, kiuchumi na mahusiano duniani. Hi sio millitary alliance kama NATO.

Sasa nani alikuambia lengo ni kupambana na Marekani.

Pia BRICS kwa sasa ni kubwa kuliko economic alliance yeyote 36% of Global economy over 35 trillion Dolars
 
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Eu ni kama Marekani B tu,hawakuwahi kua na lengo la kushindana na Marekani,ni kitu kimoja

Hayo maelezo yako umeyatolea wapi?
 
Pia BRICS kwa sasa ni kubwa kuliko economic alliance yeyote 36% of Global economy over 35 trillion Dolars
Sasa kama wao wameungana ndiyo wanapata Hiyo 36% ya uchumi wote Wa dunia wakati Marekani pekee inamiliki 15% ya uchumi huo, hapo wewe unaelewaje?
 
Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.

Hebu nigeuze swali. BRICS ilikuwaje ikaanzishwa na ni kwa nini Marekani haimo kwenye BRICS??
Ni kwa sababu malengo yake hayaendani na sera za marekani. Wale wote wanaona sera na uelekeo wa BRICS unaendana nao wanaomba wenyewe kwa hiari yao kuwa member. Mfano: mfumo wa malipo unaolazimisha kila mmoja kutumia Dollar, badala ya sarafu za nchi husika una chagamoto hivyo wakaanzisha club ambapo watalipana kupitia fedha za nchi husika.

Sasa marekani hawezi kuwa mwanachama maana angependa dollar itumike. By the way ni utashi wa nchi husika kujiunga na sio sababu za kiushindani
 
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
It's unlike democracy to fight democracy.
 
Back
Top Bottom