Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Mbona wanunuzi ni sehemu ya umoja huo?Ni umoja wa kuhakikisha hawafikii hatua ya kuuza bandar zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanunuzi ni sehemu ya umoja huo?Ni umoja wa kuhakikisha hawafikii hatua ya kuuza bandar zao
Waliungana Ili iweje??EU hawakuungana kushindana na USA.
WaziKila mtu duniani lengo lake ni kufika nchi ya maziwa na asali- USA. Marais wenyewe wa BRICS wanacheza green card lottery.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝Mkuu kwa hiyo wewe unadhani USA atakuwa kiranja wa Dunia miaka yote,au husomi historia kulikuwa na dola zenye nguvu huko nyuma nazo zilianguka.
Yes,BRICS wataweza sababu kuu ni Moja Nchi za BRICS zinaongoza kwa Rasilimali na soko kubwa LA bidhaa na huduma tofauti na EU ambayo haina rasilimali.
Moja ya malengo makubwa ya BRICS ni kuondoa mfumo kandamizi wa kiuchumi na unyonyaji wa hiyo USA,na moja kati wa washirika wa BRICS-Russia amefanikisha katika uondoaji wa matumizi ya USD katika mfumo wake wa kiuchumi.
Hali iliyopelekea Nchi nyingi kuiga kufanya trade katika currency zao.Najua unafahamu matokeo yake matumizi ya USD duniani yamepungua zaidi ya 10% kuliko hapo awali.
Bado hizo embargo zimepelekea Chumi za USA na Nchi za Ulaya kuyumba mara dufu.
Kama uliuliza kwa lengo LA kujifunza utakuwa umepata hints,kama ulikuwa ni ushabiki njoo na hoja.
Ha ha haKila mtu duniani lengo lake ni kufika nchi ya maziwa na asali- USA. Marais wenyewe wa BRICS wanacheza green card lottery.
Hili bara ni kama lina laana fulani watu wengi Afrika wameoza akili kama huyu mleta uziWatu wanakaa wanawaza namna ya kuwapambania watu wao kiuchumi..kupitia huo umoja..wewe unawaza kushindana na Marekani..
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe
Huwa naona huruma sana kuhusu taifa langu watu wameoza akili kabisa hatuna machungu ya sisi kufanikiwa kama mataifa makubwa ila tuna chuki za kijinga sana dhidi ya yale mataifa yanayo inukaHivi nani aliekuambia EU ilikuja kupambana na Marekani?au nani kakuambia Brics inakuja kupambana na Marekani.
Unaweza kukuta wewe una Masters kabisa.
Tanzania tuna vijana wa ajabu sana.
Ili kurahisisha biashara kati yao. Ni kama leo EA tuwe na sarafu moja. Itakuwa kurahisiha biashara na si kupambana na dola.Waliungana Ili iweje??
Sarafu ya Euro ilianzishwa Kwa lengo Gani. Yaani iwe mbadala wa Sarafu gani kama siyo dollar ya kimarekani.
Hawa Wasouth Umeme Tuu UnawasumbuaKuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Achana nao mafwala hao. Halafu hiyo BRICS eti ndani ina waarabu, latin America na Africans ndani. Kuna deal hapo kweli?Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Hao EU wao wenyewe bado kuna baadhi ya maeneo hawakubaliani (rejea Brexit) isitoshe bado mifumo yao ya kifedha ina maingiliano makubwa na mabenki ya kimarekani.Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Mkuu wala sio waafrika wote wajinga.bali Kuna waafrika wajinga wachache wenye mawazo ya kitumwa.Watu wanakaa wanawaza namna ya kuwapambania watu wao kiuchumi..kupitia huo umoja..wewe unawaza kushindana na Marekani..
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe
Kwanza ni kujikana kwa kudhani kwamba eti EU ilianzishwa bila ya kuwa na lengo dhidi ya Dollar ya kimarekani.Hivi nani aliekuambia EU ilikuja kupambana na Marekani?au nani kakuambia Brics inakuja kupambana na Marekani.
Unaweza kukuta wewe una Masters kabisa.
Tanzania tuna vijana wa ajabu sana.
ussr ipo?Kwamba Objectives ni kushindana na Marekani ?, Kwahio Marekani ikifa na BRICS inakufa ?
Hiyo sio NATO ambayo iliundwa ili kumuhimili USSR
Kwamba lile eneo ambalo lilikuwa former USSR lilizama Baharini ?ussr ipo?