Kama ilishindwa EU ndiyo BRICS itaweza kupambana na Marekani?

Kama ilishindwa EU ndiyo BRICS itaweza kupambana na Marekani?

Hao EU wao wenyewe bado kuna baadhi ya maeneo hawakubaliani (rejea Brexit) isitoshe bado mifumo yao ya kifedha ina maingiliano makubwa na mabenki ya kimarekani.

Bricks ni kama vile ipo kuchuana na G7 na kupunguza utegemezi kwa hao mabeberu ila hata wao wanapishana sana mambo mengi isitoshe wao kwa wao ni mahasimu (China na India), ila nadhani watatoa ushindani mzuri kwa G7 (ila sio kuwapiku kabisa kwa sasa) ambao unaweza kutunufaisha sisi wa dunia ya 3 tukichanga karata zetu vizuri.

zitto junior T14 Armata The Boy Wonder FRANC THE GREAT
Watatoa ushindani kwa nchi ambazo hazitaki demokrasia.
 
Lazima tukubali kwamba - in future- BRICS itapunguza sana nguvu za uchumi na ushawishi wa Marekani duniani...
Kumbuka ni Economic Alliance ambayo MCHINA yupo ndani yake...
Naona SAUDIA + IRAN + ARGETINA wameingia...
Natabiria huenda nchi za ASIA ya mbali + kati zikafuata baadaye ( Indonesia, Malaysia, N.Korea, Philippines.

tofauti na ilivyo EU pekee , BRICS yaweza kutanuka duniani...
Kama BRICS Itaanzisha sarafu yake, Hata kama hawatamshinda US, ila kiuchumi itapunguza sana utegemezi wa DOLLAR....na kuna nchi zitasimama kiuchumi.
Haimaanishi hizo nchi zitakuwa adui wa US, uchawa uteendelea hasa ktk utegemezi wa kijeshi ,lakini itakuwa ni dunia ya urafiki wa kimaslahi kwani kila nchi inatafuta namna ya ku-survival ..

Na hili litakuwa advantage kubwa kwa CHINA ambayo inaathirika na DOLLAR ktk ushindani wa kibiashara+ uchumi duniani...

Naiona kambi ya RUSSIA, hata kama haitakuwa ya kiitikadi kama ile ya enzi za USSR. ..ambaye atategemewa sana na BRICS ktk masuala ya ki-mgogoro kama itatokea baina ya mwanachama wa BRICS vs kambi ya magharibi..
Kwamba BRICS+ itasababisha wananchi wa Marekani wasiwe na uwezo wa kununua?
Hao BRICS tukiondoa Mafuta na Marekani wana kipi?
BRICS yote yamtegemea Marekani kuuza mafuta na bidhaa
 
Watu wanaangalia namna ya kujikwamua na utumwa wa kiuchumi, wewe unawaza kushindwa kwa Marekani. Kweli utumwa wa akili ni hatari.
Inakuwaje utumwa kiuchumi?

We waamini kuwa Tz itafanya biashara na China kwa Tzs/Yuan?
 
Hapa Brics sio suala la kupambana wala ugomvi bali ni kuwekeza pamoja na kupandisha uchumi wao
Kwa mfano Brazil akija kuwekeza kwenye kilimo kwenye nchi kadhaa Africa ni vizuri na hakuna madhara wala kushindana na [emoji631] hayo ni mawazo tu EU pia wana NATO pamoja na huyo huyo
Sisi waafrika huwezi kuona mtanzania anaenda nchi kama Nigeria au Egypt kutafuta bidhaa zao na kuleta hata nguo ila ataenda China na Dubai why?

Hatusaidiani kabisa waafrika acha tuone hao waliokubaliwa kujiunga
BRICS wao wanachotaka ni wingi ili walazimishe mabadiliko ya UN haswa kwenye vile Viti 5 permanent, wanataka AU iwe na Kiti cha Kudumu, lengo lao ni lile lile wakianzaisha vita sababu waafirka wajinga wasipige kura
 
Nimeandika nilivyo andika kupima uelewa wako na umethibitisha kuwa ni mdogo.
EU + US jumla wako nchi 28 na jumla ya global gdp Yao ni 40% BBRICS Wana jumla ya nchi 8 ukiongeza hao wapya. Sasa Kwa uelewa wako mdogo tuambie wapi Wana uchumi mkubwa tukitafuta wastani?
Wataalamu wenye akili wameshaona kifo Cha G7 na bwana wenu US
BRICKS Payment System inaanza lini? Uchukua miaka 30 mfumo fedha Kufanya kazi. Naona kama wanajichelewesha. Walitakiwa wawe na Pesa yao mapema walipokuwa 5.
 
Inakuwaje utumwa kiuchumi?

We waamini kuwa Tz itafanya biashara na China kwa Tzs/Yuan?
Kwenye masuala haya huwa hakuna jibu la moja kwa moja, tunaangalia trends na viashiria tu.

BRICS lengo kuu ni kuja na mfumo mbadala wa kiuchumi na kuondoka na ukiranja wa Marekani kiuchumi ambao kwa kweli unaminya uhuru wa mataifa mengi kiuchumi-Rais lula mara zote amekua amesisitiza kuwa na mbadala wa dola, na pili kuwa na dunia ambayo kunakuwa na sauti sawa, mf kuna benki yao waliyoianzisha ambayo founders wameweka mtaji sawa(usd 100 bil) na wote wana kura 1 kimaamuzi-sasa hali hii itadumu kwa muda gani hili ni sintofahamu. Sauti sawa ni jambo la mashaka.

Ila jambo la hakika, BRICS itashape dunia. Mfano, leo Uganda amebinywa na UN kwa sababu ya sheria za ushoga, anaweza pata mikopo kwenye bank ya BRICS, unadhani sera za US hasa uingiliaji wa nchi, zitabaki zilivyo?
 
Yaani kwanza data huna.
Global gdp ya marekani ni 23% na washirika wake ni 17% ukijumlisha hapo unapata 40%. Kwa takwimu hizo BRICS wako juu pamoja na kuwa Wana 36% unajua ni kwanini?
Kama hujui tumia hesabu za darasa la pili ndio utakuwa kwanini US na vibaraka wake Wana haha

Expanded BRICS will make up nearly 40% of global economy – data​

The bloc’s combined GDP already exceeds that of the G7, and the gap will widen further once six new members join next year
Expanded BRICS will make up nearly 40% of global economy – data

© Getty Images / mnbb
The addition of six new member states will propel the BRICS group of countries far ahead of its major rival, the G7, in economic terms, several Russian media outlets reported this week, citing calculations based on global data.
BRICS currently consists of Brazil, Russia, India, China, and South Africa, but next January it will admit Argentina, Egypt, Ethiopia, Iran, Saudi Arabia, and the United Arab Emirates.
According to reports from the news outlets RBK and TASS, the combined gross domestic product (GDP) of the expanded BRICS in terms of purchasing power parity (PPP) will be roughly $65 trillion. This would see the bloc’s share of global GDP rise from the current 31.5% to 37%. In comparison, the share of the G7 group of advanced economies is currently around 29.9%.
Furthermore, with the addition of the new members, BRICS nations will account for almost half of the world’s food production. In 2021, the group’s wheat harvest amounted to 49% of the globe’s total. The share of the G7 was 19.1%. BRICS will also have an advantage in terms of the production of metals used in the high-tech industry. The 11 nations will account for 79% of global aluminum output, against just 1.3% controlled by the G7. For palladium, the disparity is 77% for BRICS versus 6.9% for the G7.
The expanded BRICS will account for roughly 38.3% of the globe’s industrial production, versus 30.5% for the G7. However, the latter will retain the advantage in terms of exports, with a share of 28.8% against 23.4% for BRICS.
Expanded BRICS to dominate global energy markets – dataREAD MORE: Expanded BRICS to dominate global energy markets – data
Saudi Arabia has the largest economy among the new BRICS member states. Its GDP in dollar terms at the end of 2022 was estimated at $1.1 trillion. Meanwhile, the UAE will be a formidable addition to the bloc thanks to its status as a major exporter. Its exports of goods in 2022 amounted to nearly $600 billion.
Overall, the 11 BRICS countries will account for 48.5 million square kilometers, representing 36% of the world’s land area. This is more than double that of the G7. The combined population will amount to 3.6 billion, 45% of the globe’s total and more than four times above the G7.
For more stories on economy & finance visit RT's business section
 
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Sio vibaya kujaribu, wakishindwa wataangalia namna nyingine iliyobora zaidi, "penye nia pana njia"
Mchuma ushang'oa Nanga huo!
 
Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.

Hebu nigeuze swali. BRICS ilikuwaje ikaanzishwa na ni kwa nini Marekani haimo kwenye BRICS??
Ungeanza kujiuliza Gold Standard Monetary system na Bretton Wodds agreements and Institutions ... Ukajiuliza taratibu za Loans, Grants katika Bretton Wodds institutions ndio ukaja na huu uharo wako....
 
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.

Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.

Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Watu wakiungana wanaweza kuishinda Marekani, ni vile tu wao ni wajanja kwamba ktk muunganiko wenu kunaweza kua na watu wao na wewe wakawa wanakudanganya ,hivyo ktk mpango yenu wao wakawa wanaitibua,mamluki yani

Lakini kusema nchi ziliungana zikamshindwa hiyo siyo kweli , ni sawa na wewe ujitokeze eti una nguvu upigane na watu watatu au wanne, watakupiga tu, yeye hutegemea kuungwa mkono, akibaki mwenyewe anasanda, kwa mfano sasa hivi, America pekee ikipigana vita yenyewe peke yake na ktk Ardhi yake, ikipambana na China au Russia lazima itapigwa.

Hayo mataifa mawili yana nguvu kubwa, sema hayakua ktk choko choko kwa sababu nchi kama china haitaki kuharibu miundo mbinu yake wala kurudisha uchumi wao nyuma eti kisa kutafuta ukubwa duniani hapana, ila uwezo mkubwa wanao, Russia vivyo hivyo.

Tumeona mpaka sasa Russia haipigani na Ukraine pekee, inapigana na hao wote mataifa makubwa washirika wa USA, lakini angalia wanafanya nini, je ikiwa America pekee??

Tafuta clip zinazoonyesha jinsi Mike Tyson alivyowahi kupigwa na ubabe wake, tafuta jinsi Joe Flazzier alivyo wahi kumtwanga Mohammed Ally, kila mbabe ana mbabe wake
 
Kwamba BRICS+ itasababisha wananchi wa Marekani wasiwe na uwezo wa kununua?
Hao BRICS tukiondoa Mafuta na Marekani wana kipi?
BRICS yote yamtegemea Marekani kuuza mafuta na bidhaa

Pamoja na yote hayo unayoeleza, marekani wana hofu iliyopitiliza kuhusiana na BRICS. They term this pact as serious competitor. Unlike EU which is termed as allies.
 
Pamoja na yote hayo unayoeleza, marekani wana hofu iliyopitiliza kuhusiana na BRICS. They term it pact as serious competitor. Unlike EU which is termed as allies.
Rudi shule
 
Inawezekana mashabiki Wa BRICS mnashindwa kuidaka Mantiki ya Dollar dhidi ya uchumi BRICS na Sarafu zao.

Hakuna anayepinga BRICS watatumia Sarafu zao kufanya biashara baina yao, lakini Kwa sasa siyo baadae biashara ya ulimwengu inatumia Dollar Kwa 80%.

Wengine tunaona kwamba ili matumizi ya dollar yaondolewe kwenye mfumo wa biashara duniani au yapungue angalau yafike 50% si jambo la muongo mmoja bali ni mchakato utakaochukua zaidi ya miongo mitatu.

Sasa wakati hao BRICS wanapambana kuiangusha dollar,Marekani watakuwa Wanaangalia tu?
 
Back
Top Bottom