Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Yaani kwanza data huna.Sasa kama wao wameungana ndiyo wanapata Hiyo 36% ya uchumi wote Wa dunia wakati Marekani pekee inamiliki 15% ya uchumi huo, hapo wewe unaelewaje?
Global gdp ya marekani ni 23% na washirika wake ni 17% ukijumlisha hapo unapata 40%. Kwa takwimu hizo BRICS wako juu pamoja na kuwa Wana 36% unajua ni kwanini?
Kama hujui tumia hesabu za darasa la pili ndio utakuwa kwanini US na vibaraka wake Wana haha