Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Sababu zake ziko wazi na Wala si mara ya kwanza kujitoa. Yote Kwa yote Bado lengo la BRICS na EU ni Moja.Usiifananishe EU na BRICS, EU ni kichaka cha Marekani. Unaweza nipa sababu zenye mashiko Kwann UK alijitoa???
Sababu zake ziko wazi na Wala si mara ya kwanza kujitoa. Yote Kwa yote Bado lengo la BRICS na EU ni Moja.
Kuna wakati unapaswa kusoma sana ili uweze kutoa maoni au kuanzisha mada.Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Eu ni kama Marekani B tu,hawakuwahi kua na lengo la kushindana na Marekani,ni kitu kimojaKuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Kwa hiyo kaka yako akioa na wewe ukaoa hapo mnashindana?Kichakoro kama siyo kushindana na Marekani ilianzishwa ya kazi Gani Sasa!!??
Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.Kwa hiyo kaka yako akioa na wewe ukaoa hapo mnashindana?
Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.
Hebu nigeuze swali. BRICS ilikuwaje ikaanzishwa na ni kwa nini Marekani haimo kwenye BRICS??
Sasa kama wao wameungana ndiyo wanapata Hiyo 36% ya uchumi wote Wa dunia wakati Marekani pekee inamiliki 15% ya uchumi huo, hapo wewe unaelewaje?Pia BRICS kwa sasa ni kubwa kuliko economic alliance yeyote 36% of Global economy over 35 trillion Dolars
Wewe pia soma uelewe kabla ya kujibu.Kwahiyo wewe lengo lako US awe BRICS??,
Ni kwa sababu malengo yake hayaendani na sera za marekani. Wale wote wanaona sera na uelekeo wa BRICS unaendana nao wanaomba wenyewe kwa hiari yao kuwa member. Mfano: mfumo wa malipo unaolazimisha kila mmoja kutumia Dollar, badala ya sarafu za nchi husika una chagamoto hivyo wakaanzisha club ambapo watalipana kupitia fedha za nchi husika.Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.
Hebu nigeuze swali. BRICS ilikuwaje ikaanzishwa na ni kwa nini Marekani haimo kwenye BRICS??
It's unlike democracy to fight democracy.Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?