hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Aisee..Inaitwa TEMU...ILA Haina maajabu View attachment 2999541
Unaa maana gani hapo kusema haina maajabu?Inaitwa TEMU...ILA Haina maajabu View attachment 2999541
Huyu jamaa hapa anaishi dubai waweza kumuagiza๐๐๐Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai.
Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai.
Facebook Marketplace sio safe sana hadi biashara ifanyike physically, online shopping app ipi inanikutanisha na sellers wa Dubai.
View attachment 2965845
Mwanetu umekaa dubai siku kadhaa tu ushajaza app za kiarabu kwny cmu dah!!Inaitwa TEMU...ILA Haina maajabu View attachment 2999541
They dont ship to Africa. Kwa sasa they only ship kwenda marekan, spain, AustraliaUnaa maana gani hapo kusema haina maajabu?
Iweke hapa tuichangamkie.....!!!Ipo ila bidhaa ni z ndani ya dubei af hawauzi mifamba ni only latest
Naona wanadeliver only within dubaiCheki hii App inaitwa Noon
Yes unaweza weka address ya transporter wanaleta mizigo bongo then mzigo wako ukafikaNaona wanadeliver only within dubai
Wapo wanigeria ndo kazi zaoWatu wa dubai wengi hawana njaa. So hawahangaiki na hizi bidhaa kuziweka mtandaoni.