Kama ilivyo dini Dola haiwezi kufa na itaendelea kuenenda kama Dola

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.

Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.

Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ni nani aliye kudanganya. Dola kila siku zinakufa, zinazaliwa nyingine.
Au una maana nyingine ya DOLA?
 
Hakuna anayepembana kuiangusha dola, usituzushie uhaini wa mchongo.

Tunapambana kuing'oa ccm ili dola iwe chini ya wazalendo.
 
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.

Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.

Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Madhara ya kukimbia somo la historia ndo Leo yanaonekana,hujajifunza kuinuka na kuanguka kwa falme za kale kama soghay,Ghana , Mali,Mwenemtapa?

Vipi utawala wa Muamar ghadafi,vipi Omar Bashir.nk

Historia haioneshu anguko la dini,bado inaonesha dini anazaliwa na kukua bila kufa
 
Kama ziliweza kuanguka Dola imara kama ya kirumi, Uthmaniya (Ottoman) bado unapingana kufa kwa kwa hizi dola uchwara?
Huyu mleta mada ni mbumbumbu ! Hajui Kuna Dola kubwa kama ya Mali ilikufa? Roman empire ilikufa na hata Dola, serikali ya Hitler ilikufa na kusambaratika kama kioo Cha mbele Cha gari baada ya kugongana uso Kwa uso na train?
Hii ya Samia tukikaza Buti kidogo tu Chali.
 
Nakubali ukiwa chawa akili hupotea kichwani by default.
 
Kama ziliweza kuanguka Dola imara kama ya kirumi, Uthmaniya (Ottoman) bado unapingana kufa kwa kwa hizi dola uchwara?
Lala tu, hili andoko limekuzodi akili. Ukiliingia kichadema chadema hili lazima likutoe knock out. Linahitaji neutrality iweze kuelewa.
 
Huyu mleta mada ni mbumbumbu ! Hajui Kuna Dola kubwa kama ya Mali ilikufa? Roman empire ilikufa na hata Dola, serikali ya Hitler ilikufa na kusambaratika kama kioo Cha mbele Cha gari baada ya kugongana uso Kwa uso na train?
Hii ya Samia tukikaza Buti kidogo tu Chali.
Pumbaaavu, shida yenu mnafikiri kinyumbunyumbu sana. Kwakuwa mna matamanio sana ya kumuona mama Samia anaanguka basi mkisikia 'dola haifi' mnafikiri mtu amesema 'Samia hatoondoka madarakani'🤣🤣🤣
Huko unakotaja hizo Dola zilizokufa km ulivyokariri kutoka katika history Yako uchwara, hakuna tena Dola?!!!!! Hazijaibuka zingine?!!!!

Huyo Samia mbona mmekaza sana, nyie na TEC yenu, sema ni vile tu Mungu Bado Yuko nae dhidi ya hila na chuki zenu binadamu wachache 'washenzi'
 
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.

Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.

Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Dola? Unamaanisha Dola ya Marekani au?

Mbona huwa inashuka sana tu, inazidiwaga hadi na mahela ya Japan huko sijui Yen!
 
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.

Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.

Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umeishia darasa la ngapi ambalo hata historia ya juuu juu, huifaham????

Hata Dola ya Wakolon, Jiran yetu Idi Amini, naye huzijui???

Daaah
 
Naona unakichefu chefu cha ****** ukiona wanaume wamekaa unaharisha tu, bloodfool.

Back
Top Bottom