Tanganyika iko wapi
Rodesia iko wapi
Soviet Union iko wapi
Republic Of China iko wapi (Siyo People's Republic Of China)
India (Pakistan, Bangladesh, , Bhutan, )
Utakua nivmtoto wa juzi na haufahamu historia ya Dunia.
Kulikua na dola nyingi, zenye nguvu duniani, lakini zote zimekufa. Kwa Hapa Africa Mashariki, kulikua na dola ya Buganda, kuna dola ya Mali(Mali Empire), Ghana Empire na Yoruba. Hizo ni dola zilizokua na nguvu sana wakati wake. Zilivuma kutokana na ubabe wa viongozi wao pamoja na ushawishi wake kwenye jamii.
Kuna Dola ya Rumi na Dola ya Ottoman. Hizi ni Dola kubwa kuwahi kuwepo duniani. Zote zilisambaratika na viongozi wake wengi kuishia kuuawa. Dola zote zilisambaratika baada ya watu wao kukosa mshikamano hali iliyopelekea Vita ya wenyewe kwa wenyewe na kuuza taarifa kwa dola hasimu.
Kama hujui vitu usiwe unakimbilia kuandika.