Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
- Thread starter
- #21
Akili ndogo inayoongozwa na akili ndogo piaKwanza ni mahakama haina uwezo wa kuingilia uchaguzi na sheria zake, kwani sheria zinatungwa na bunge la tanzania na si mahakama hiyo,
la pili hizo pesa angezifanyia kazi za maendeleo kuliko kuzipoteza,
Kuna wananchi wanahitaji maji huko kwao angefanya hilo hata kuchimba kisima kimoja ingemsaidia sana.