mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ya azam ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida, kagera sugar, prison, Yanga, Kmc nk.
Yaani msimu huu tumeishia kupata point moja tu kutoka kwa timu dhaifu ya azam?
Ama kweli tunaelekea kwenye anguko kuu. Viongozi wote wajiuzulu na Mo atuachie timu yetu.
Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]