Kama imefikia hatua Simba inashangilia droo kwa Azam basi hatuna timu

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ya azam ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida, kagera sugar, prison, Yanga, Kmc nk.

Yaani msimu huu tumeishia kupata point moja tu kutoka kwa timu dhaifu ya azam?

Ama kweli tunaelekea kwenye anguko kuu. Viongozi wote wajiuzulu na Mo atuachie timu yetu.

Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]
 
Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida, kagera sugar, prison,
Ahaa, kumbe anayefungwa na hizo timu ulizoorodhesha ni dhaifu kumbe!
 
Kama kocha wa Azam mwenyewe hajafurahia sare, kwann basi wanamsimbazi tusishangilie

Back
Top Bottom