mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unda yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unda yako
Mkuu kama unafurahia hii Hali basi ww sio shabik wa simbaUnda yako
Tuna mimba tunataka kuzaaAsee mbna mnahangaika sana
Sawa we mwerevuSimba haiwezi kuwa na shabiki mjinga kama wewe.
Ahaa, kumbe anayefungwa na hizo timu ulizoorodhesha ni dhaifu kumbe!Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida, kagera sugar, prison,
Kwani umesahau humo wamejaamo mbumbumbu🏃Simba haiwezi kuwa na shabiki mjinga kama wewe.
Wanataka kutagaAsee mbna mnahangaika sana
Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ya azam ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida, kagera sugar, prison, Yanga, Kmc nk.
Yaani msimu huu tumeishia kupata point moja tu kutoka kwa timu dhaifu ya azam?
Ama kweli tunaelekea kwenye anguko kuu. Viongozi wote wajiuzulu na Mo atuachie timu yetu.
Simba nguvu moja[emoji123][emoji123]