Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida.
Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza mifuko ya wananchi na kukuza uchumi wa nchi mkatupatia.
•Singapore
•Korea Kusini
• Japan
• China bara
• Vietnam
• Taiwan
• Malaysia
Hawa wa Asia wameweza kufanikiwa kwa njia hiyo wananchi wao hawakunyiwa vyote ni demokrasia ndio ili minywa katika ukuaji wa kiuchumi wa maeneo yao lakini uhuru wa kiuchumi na maendeleo viongozi wao walitoa.
Binafsi nipo tayari suala zima la kisiasa na utendaji wake kuwaachia nyie pekee muongoze vyema bila kuwa zingatia ikiwa tu sera bora za kiuchumi na dira ya maendeleo ya taifa na watu wake inawekwa.
Hayo maeneo ya Asia yame tawaliwa na chama kimoja kwa muda mrefu au mtu mmoja au mfalme mmoja kwa muda mrefu.
Si lazima sana kuipokea demokrasia kwa sasa kama hatupo tayari kuiishi ila ni muhimu maendeleo ya taifa kuzingatiwa.
Watu wa Asia wana akili sana walijua nini wanakiitaji kwa wakati wao sasa wana kula matunda yao na taratibu wana elekea katika hiyo demokrasia.
Vieneo kama Singapore na Taiwan vinatoa somo kubwa sana la kuichangamsha akili.
Former Singapore PM Lee Kuan Yew