Kama imewezekana kupiga security tapes nyumba ya ibada, kumbe hata ununio na Mabwe pande inawezekana!

Kama imewezekana kupiga security tapes nyumba ya ibada, kumbe hata ununio na Mabwe pande inawezekana!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Kama imewezekana haraka siku hiyo hiyo kuweka ulinzi na kufunga eneo lote la kanisa la ufufuo na uzima,

Kumbe hata ununuo na mabwe pande ambapo watu hutupwa wakiwa wameuwawa au kuumiza, inawezekana kuweka ulinzi wa 24 hours Ili kuzuia Hali hiyo kuendelea kutamallaki nchini petu.

Karibuni 🙏
 
Kwamba wanaoua Ndo hao hao waweke ulinzi?
 
Back
Top Bottom