Kama inakuhusu

Kama inakuhusu

Mimi nawashangaa vijana mnaochangamkia hii issue ya vibinti vidogo na mnasahau kwamba wao pia wanawazazi wao. ...kumbuka WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..na wewe pia utakuja kuwa mzazi na watoto wako watafanyiwa kama wewe unavyowafanyia wa wenzako tena itakuwa mbaya zaidi. ..usifanye mchezo na ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR!
 
Hahaaaaaaa
Chiz kweli ww
Na hicho cha drs la saba usikute umekiambia ooohhh nataman ningekuwa karibu naww kwny mtihan coz unaandika vizur sn...hamkawiagi
 
Hahaaaaaaa
Chiz kweli ww
Na hicho cha drs la saba usikute umekiambia ooohhh nataman ningekuwa karibu naww kwny mtihan coz unaandika vizur sn...hamkawiagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Comment yako imevunja mbavu zangu..Mama confidence!!
 
!
!
hahahahaha Duh
Wapo kwenye foleni
1473251806772.jpg
 
Back
Top Bottom