ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Mimi nawashangaa vijana mnaochangamkia hii issue ya vibinti vidogo na mnasahau kwamba wao pia wanawazazi wao. ...kumbuka WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..na wewe pia utakuja kuwa mzazi na watoto wako watafanyiwa kama wewe unavyowafanyia wa wenzako tena itakuwa mbaya zaidi. ..usifanye mchezo na ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR!