Kama inaonekana Rais Samia haongozi kwa maslahi ya Tanzania bara awamu yake ya kwanza ya uraisi, basi hali itaonekana mbaya zaidi awamu yake ya pili!

Mvivu wa kusoma, mzito wa kufikiri, mwepesi wa kupiga kelele. Sawa bwana mwerevu, tumekusikia.
Umewahi ona napiga kelele kuhusu Muungano?

Wewe Kwa akili Yako unadhani Nchi ikiwa vipande 2 tofauti Mimi nitanufaikaje? 😁😁
 
Umewahi ona napiga kelele kuhusu Muungano?

Wewe Kwa akili Yako unadhani Nchi ikiwa vipande 2 tofauti Mimi nitanufaikaje? 😁😁
Kwa taarifa yako, mimi ni mojawapo ambao napenda tuwe na serikali moja tu, ya Tanzania. Raisi mmoja mwenye amri moja Tanzania nzima, na hakuna cha serikali ya Tanganyika wala ya Mapinduzi Zanzibar!
Kama Zanzibar wanataka kuwa na mamlaka fulani basi tuwe na United States of Tanzania, kila mkoa unakuwa na hadhi ya state na governor wake
 
Hakuna Mzanzibar atakubali huo utaratibu,uliahindikana Uingereza hata hapa Tanzania haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…