ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Umewahi ona napiga kelele kuhusu Muungano?Mvivu wa kusoma, mzito wa kufikiri, mwepesi wa kupiga kelele. Sawa bwana mwerevu, tumekusikia.
Wewe Kwa akili Yako unadhani Nchi ikiwa vipande 2 tofauti Mimi nitanufaikaje? 😁😁