Kama inawezekana Aziz ki na Dube wavunjiwe mikataba wakiwa hapohapo uwanjani

Lyetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
1,268
Reaction score
3,429
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.

Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.

Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
 
Yamekuwa hayo tena?!
Aziz huyooo Aziz kapiga kaitaka tenaaa.....
 
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.

Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.

Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Wachezaji kama Kibabage,Msonda na Dube kiukweli sio level ya mashindano haya.
Tutaongea mengi lakini ukweli ndo huo.
Na na kama kocha atsendelea kuwatumia, basi sidhani kama hata Christmas ataila akiwa Kocha wa Yanga.
 
Kibabage amejitahidi sana Leo, ila hawa wajinga Aziz na Dube wamefanya ujinga mwingi sana pale mbele dakika 20 za mwanzo.
 
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.

Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.

Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.

Nakubaliana na wewe Azizi alikuwa anaonyrsha mbwembwe siyo mpira wa kushinda mchezo na Dube alikuwa hana habari nini anatakiwa kufanya akiwa kama striker.
 
Alichokifanya aziz kii mwaka jana ilikua one season wonders tu, lakini mpira wake miaka yote ndio huu huu tu angalia takwimu zake utagundua.

Usajiri wa msimu huu yanga tumeteleza kidogo. Nafikiri wachezaji wenye profile kubwa kwa hapa ligi ya ndani mfano hawa wakina chama, abuya, dube n.k tuachane nao, tuangazie zaidi vijana wadogo ambao bado wanajitafuta kama tulivyowachukua wakina job. Mwamnyeto, kibabage, kibwana n.k

Hata hivyo bado tuna timu ya kuvuka group stage kwa sababu wapinzani wetu wote katika kundi hakuna ambae ana historia ya kuwa timu tishio kwenye haya mashindano.
 
Ila Mimi najiuliza,kwani viongozi hawaoni udhaifu wa wachezaji wakamshauri vizuri kocha?
Maana kwa msimu huu timu haiko na ule uwezo iliyokuwa nao msimu uliopia,hivyo ni mhimu kufanya tathmini ya kila mchezsji upya na kuona kama bado ana mchango wowote wa maana kwenye timu .Kama kocha atsendelea kuwatumia hawa washambuliaji ni wazo kuwa hata kombe la NBC tu litaondoka, achilia mbali kuvuka ngazi ya makundi.
 
Back
Top Bottom