Kama inawezekana Aziz ki na Dube wavunjiwe mikataba wakiwa hapohapo uwanjani

Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.

Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.

Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Mademu wa kibongo wamewamaiza nguvu.

Huwezi kushindana na ulikoyokea ukawa salama
 
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.

Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.

Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Yaani hata Gamondi naamini kuna baadhi ya watu hakuwahitaji wamekuja kuwa mzigo katika timu yake ila viongozi walikuwa wanamkoromea we usitupangie sisi waajiri wako
 
Back
Top Bottom